Naombeni kazi Lumumba

Citizen B

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2019
Posts
6,681
Reaction score
9,084
Sifa zangu:
Ni kijana mwenye uwezo wa kukesha nasifu Na kuabudu bila kuchoka.
Naweza kubadilisha nyeusi Kuwa nyeupe.
Ni muongo Sana Na naweza kudanganya bila kupepesa macho
Nina uwezo wa kutunga propaganda Za akili Na maganda yake.
Naambatanisha kielelezo kimoja.

Wako mtiifu.

 
Kwani Lumumba wanaajiri viazi?

Ushauri= baki hapo Sacco's mtaa wa ufipa
 

Kipimo chao hiki hapa:

Your browser is not able to display this video.


Masharti na vigezo huzingatiwa.
 
Huenda hata hii thread imejaa uongo mtupu
 
Hapo kwenye uwezo wa kubadili nyeusi kua nyeupe ,
Hebu onyesha ufanisi wako kwa kubadili hayo maandishi yako maana ni meusi , yabadili yawe meupe sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…