chapati mbili na chai
Member
- Jun 1, 2026
- 99
- 189
Kafungua uzi mwingine anaomba msaada wa kwenda kusoma PHD😂Sasa wewe unaandika nyuzi tele za kuomba KAZI Kwa siku moja,upo serious kweli??,
Ungeniita Kwa kazi Moja ambayo nimeomba ukaona kama nitaifanya au lah ndiyo uulize u seriously wanguSasa wewe unaandika nyuzi tele za kuomba KAZI Kwa siku moja,upo serious kweli??,
Vijana kama wewe mna mchango mdogo sana kwenye taifaMteja akitaka donat unampa?
Uzi mwingine anaomba aelekezwe jinsi ya kupika wali kwenye jiko la gesi,Leo hiyo,Kafungua uzi mwingine anaomba msaada wa kwenda kusoma PHD😂
Sasa utasomaje phd wakati certificate tu hujaifanyia kazi.
Mgeni jf,utaelewa tu.Ungeniita Kwa kazi Moja ambayo nimeomba ukaona kama nitaifanya au lah ndiyo uulize u seriously wangu
hiyo ni changamoto ya afya akiliMgeni jf,utaelewa tu.
Hatari sana.hiyo ni changamoto ya afya akili
Kwani Kuna ubaya gani mkuuUzi mwingine anaomba aelekezwe jinsi ya kupika wali kwenye jiko la gesi,Leo hiyo,
Uzi mwingine anaomba KAZI mtaji nguvu na afya,