Mkuu vipi simu za mikopo huku zinatoka? Tufungue chaka huko
Mkuu nichek iHabari za wakati huu. Mimi ni mhitimu wa shahada ya Finance and Investment Planning. Naomba kwa heshima kama kuna fursa yoyote ya kazi hususan kwenye stationery, maduka ya jumla, warehouse, au finance and planning internship. Nipo Dodoma, niko tayari kujifunza na kufanya kazi kwa bidii. Asanteni sana kwa msaada wenu.
Mkuu naomba nikupm mkuuNajiona mwenye bahati kumaliza chuo 2014 nikaajiriwa bank baada ya miaka 2 nikalamba ajira Serikalini
HOngera mkuu NIPIGE TAFU shee wangu niunge nikale kwa mama muuza🥹Najiona mwenye bahati kumaliza chuo 2014 nikaajiriwa bank baada ya miaka 2 nikalamba ajira Serikalini