nimekula hela ya kula
Member
- Nov 10, 2024
- 8
- 31
Hello JF family.
Nakuja mbele zenu ndugu zangu mnisaidie kibarua chochote kile ili nipate kusogeza siku zangu za kuishi hapa duniani bila kuwa tegemezi wala kero kwa wengine.
Sihitaji kazi ambayo itakuwa na mambo mengi, nahitaji kibarua cha kuniwezesha kumudu tu gharama za Chakula na sehemu ya kuishi.
Sihitaji mambo mengi kulingana na afya yangu maana naona sitafika mbali kulingana na hali niliyonayo.
Sina taaluma yoyote kwahiyo kibarua chochote ambacho unaona mtu ambaye hajasoma kitamfaa naomba msaada.
Naishi Dar es Salaam ni Mwanaume 27 years
Simu 0679998646