nimekula hela ya kula
Member
- Nov 10, 2024
- 8
- 31
Afya yako ina shida ganiHello JF family.
Nakuja mbele zenu ndugu zangu mnisaidie kibarua chochote kile ili nipate kusogeza siku zangu za kuishi hapa duniani bila kuwa tegemezi wala kero kwa wengine.
Sihitaji kazi ambayo itakuwa na mambo mengi, nahitaji kibarua cha kuniwezesha kumudu tu gharama za Chakula na sehemu ya kuishi.
Sihitaji mambo mengi kulingana na afya yangu maana naona sitafika mbali kulingana na hali niliyonayo.
Sina taaluma yoyote kwahiyo kibarua chochote ambacho unaona mtu ambaye hajasoma kitamfaa naomba msaada.
Naishi Dar es Salaam ni Mwanaume 27 years
Simu 0679998646
Unachohitaji kwa sasa ndio ndoto za Graduate wengi...hela ya kula na kulipa kodi...ndio maana wafanyabiashara watazidi kuwadharau wasomi...sasa kama huna Elimu si ukajifunze hata kushona viatu mtaji ni kiti kibovu, meza mbovu na sinadano na uzi vya miatano utafute hiyo 10,000 ya kula na kuishiHello JF family.
Nakuja mbele zenu ndugu zangu mnisaidie kibarua chochote kile ili nipate kusogeza siku zangu za kuishi hapa duniani bila kuwa tegemezi wala kero kwa wengine.
Sihitaji kazi ambayo itakuwa na mambo mengi, nahitaji kibarua cha kuniwezesha kumudu tu gharama za Chakula na sehemu ya kuishi.
Sihitaji mambo mengi kulingana na afya yangu maana naona sitafika mbali kulingana na hali niliyonayo.
Sina taaluma yoyote kwahiyo kibarua chochote ambacho unaona mtu ambaye hajasoma kitamfaa naomba msaada.
Naishi Dar es Salaam ni Mwanaume 27 years
Simu 0679998646
Pole Sana. Umeshaenda hospitali? Wamekueleza kazi gani unapaswa kufanya na zipi usifanye? Je Una familia inakutegemea au ndugu?Nina tatizo la spinal cord injury sasa sijui naliweka vipi kwa kiswahili.
Maswali mazuriPole Sana. Umeshaenda hospitali? Wamekueleza kazi gani unapaswa kufanya na zipi usifanye? Je Una familia inakutegemea au ndugu?
Na madalali kina Dotto Magari mkuu.kodi...ndio maana wafanyabiashara watazidi kuwadharau wasomi.
Hebu jibu hapa tafadhari, swali zuri hiliPole Sana. Umeshaenda hospitali? Wamekueleza kazi gani unapaswa kufanya na zipi usifanye? Je Una familia inakutegemea au ndugu?
Kazi au shughuli zote zinazohusu kubeba vitu vizito nimeambiwa nisizifanye tena.Pole Sana. Umeshaenda hospitali? Wamekueleza kazi gani unapaswa kufanya na zipi usifanye? Je Una familia inakutegemea au ndugu?
Umesema hujasoma? Hapa Tanzania ukijua kiingereza halafu hujui kiswahili tunajua wewe ni msomi.Nina tatizo la spinal cord injury sasa sijui naliweka vipi kwa kiswahili.
Wasomi waliwafanyia kitu gani ninyi mnaowaandama..Unachohitaji kwa sasa ndio ndoto za Graduate wengi...hela ya kula na kulipa kodi...ndio maana wafanyabiashara watazidi kuwadharau wasomi...sasa kama huna Elimu si ukajifunze hata kushona viatu mtaji ni kiti kibovu, meza mbovu na sinadano na uzi vya miatano utafute hiyo 10,000 ya kula na kuishi
Ningekuwa nimesoma ningeomba kazi ya taaluma yangu.Umesema hujasoma? Hapa Tanzania ukijua kiingereza halafu hujui kiswahili tunajua wewe ni msomi.
Hakika mkuu umenielewa sana na asante kwa kufafanua vizuri zaidi.Kama nimekuelewa hivi
Una 27 years
Hauna Taaluma maalumu Ila unaweza kufanya Kazi mbaimbali za kuelekezwa.
Aina ya Kazi ni zile ambazo sio za kubeba vitu vizito Sana .
Kwakuwa hapo awali umewahi kupata majeraha katika uti wa Mgongo.
Mimi nimekuelewa Kwa style hii, naomba MTU atakayekuwa na Kazi akupatie ili uweze kujikimu na kuendesha maisha yako.
Matatizo ya UTI wa mgongo bila shaka,pole sana,Nina tatizo la spinal cord injury sasa sijui naliweka vipi kwa kiswahili.