nina miaka miwili kazini sijawahi kuutumia mshahara wangu kwa matumizi yangu binafsi zaidi ya mwanaume kuupigia bajet na sometimes kuwatumia ndugu zake wanasheria wa jf naomben mnisaidie mwanaume ana haki yoyote juu ya mshahara wangu? Na wajibu wa kutunza familia ni mke au mme?
Uliolewa na handsome eeeh? Kazi hana huyo.
Kwa mujibu wa Mtume Paulo, mumeo anayo mamlaka juu ya mwili wako, lakini si juu ya talanta. Ila kwa kukusaidia, kaa naye chini muende sawa. Baba ndio kiongozi wa nyumba, YES anayo haki na mamlaka ya kuratibu kila senti na kila hali ndani mwenu, lakini JE, ni mtu mwenye haki?
Vunja ukimya, zungumzeni. Sheria inaweza ikakudisappoint usiamini kama ilitungwa na watu wenye akili timamu
mme wangu ana kazi na kipato chake ni kikubwa kuliko changu ni anataka tu kucontrol na nikilalamika juu ya mshahara wangu ni ugomvi unaanzaNinavyo mimi tatizo lako ni la kifamilia, unahitaji kuzungumza na mumeo juu ya hilo uone response yake kabla hujachukua hatua zaidi. Ingawa kuna vitu vya kuangalia pia au ungetujuza ili hata huyo mwanasheria akija alielewe hili kwa upana naaa kukupa ushauri muafaka. Mumeo kama hana kazi pengine, au anayo ila kipato kidogo kulinganisha na chako au anacho cha kutosha sawa na wewe au hata kukuzidi ila tu ndo anafanya hivyo. Labda ungelielezea zaidi mpendwa
Ukipata mshahara af ukakaa nao usipeleke kwake inakuaje?
tulishawahi kuvutana mpaka tukapeleka kwa wazazi wake but wazazi hawakuonesha kunisapoti na kinachoniuma zaidi ni kwamba ndugu yangu akiwa na shida hakubali kumsaidia lkn ndugu yake akiwa na shida anamtumia helaKuna screw zimeloose.huyo sio bure. Mmewahi kulizungumzia hili kifamilia? kama kuwaelezea wazazi wake au wako?
asante kwa mawazoOkay, kama utaona inafaa fanya hivi.. usimpe mshahara wako kuanzia sasa hata aanzishe ugomvi simamia haki yako, kazi unafanya wewe, pesa ni yako isipokua mwenyewe utake kuitoa kwa hiyari kwa matumizi ya kifamilia. Akikupiga au kukutukana ndio ukamfungulie mashtaka sasa, kosa sio kuchukua mshahara ila liwe udhalilishaji ikitokea amekupiga au kukutukana. Hapo sasa ndo unamtafuta kaka hapo juu aliyeoffer kukusaidia.
tulishawahi kuvutana mpaka tukapeleka kwa wazazi wake but wazazi hawakuonesha kunisapoti na kinachoniuma zaidi ni kwamba ndugu yangu akiwa na shida hakubali kumsaidia lkn ndugu yake akiwa na shida anamtumia hela