Naombeni kufahamu sifa za wanawake wa Kipare

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,913
Reaction score
11,317
Kuna ndugu yangu anataka kuoa mpare anaimba kufahamu sifa za wanawake wa KIPARE
Japo binadamu Wana tofautiana ila Kuna vi tabia na damaduni vyao naomba kuwasilisha kwa wanao wafahamu wapare
Ili ajue anaishi nae kwa namna gani
 
Uchoyo hasa wa chakula
Ubahili uliokithiri
Kutopenda ndugu upande wa mume kabisa.
Wabinafsi kupita maelezo.
Bila kusahau ushirikina kwa mgongo wa dini.

Siandiki kwa chuki ni out of experience ya kuishi na mmoja wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…