Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,681
- 9,575
3. Uchoyo
Huyo mdada namjua,si kaolewa now au?Cc Alice Mwakasanga
Mtoto wa kipare malaya huyo sijawahi kuona
Wanawake wa Kipare si wa kuoa kwani ni wachawi na malaya mno pia wana roho mbaya sana, hawapendi ndugu wa waume zao. Kama huamini muulize Mshana Jr atakuambia kuhusu dada zake.Kuna ndugu yangu anataka kuoa mpare anaimba kufahamu sifa za wanawake wa KIPARE
Japo binadamu Wana tofautiana ila Kuna vi tabia na damaduni vyao naomba kuwasilisha kwa wanao wafahamu wapare
Ili ajue anaishi nae kwa namna gani
Walevi, wahuni, wachawi, wachoyoKuna ndugu yangu anataka kuoa mpare anaimba kufahamu sifa za wanawake wa KIPARE
Japo binadamu Wana tofautiana ila Kuna vi tabia na damaduni vyao naomba kuwasilisha kwa wanao wafahamu wapare
Ili ajue anaishi nae kwa namna gani
Ndg yangu ni kama unanisemea mm,nilioa mpare ni wale wa majuba hakuna sala na funga zinazompita ila sasa,ni mshirikina sijapata ona,nimeponea chupu chupu kuuliwa ili abaki kwny mji,kesi yetu ilifika hadi kwa kadhi dsm kwa njinsi alivyo kadhi alihisi namsingizia,nilivyoweka ushahidi mezani kadhi alisikitika sana.Uchoyo hasa wa chakula
Ubahili uliokithiri
Kutopenda ndugu upande wa mume kabisa.
Wabinafsi kupita maelezo.
Bila kusahau ushirikina kwa mgongo wa dini.
Siandiki kwa chuki ni out of experience ya kuishi na mmoja wao.