Naombeni kujua dini ya Kiafrika, nijiunge nayo

Wildlifer

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2021
Posts
1,884
Reaction score
5,235
Salam!

Mimi ni Muumini wa uwepo wa Mungu. Lakini pia huamini dini ni njia ya kumfuata huyo Mungu. Na kila mazingira huwa na dini yao. Waarabu wana Uislam wao, Wayahudi wanayo yao, Wachina wanayo yao.

Naombeni ya kwetu Waafrika au hata Watanzania ili niungane nayo!
 
Salam!

Mimi ni Muumini wa uwepo wa Mungu. Lakini pia huamini dini ni njia ya kumfuata huyo Mungu. Na kila mazingira huwa na dini yao. Waarabu wana Uislam wao, Wayahudi wanayo yao, Wachina wanayo yao. Naombeni ya kwetu Waafrika au hata Watanzania. Ili niungane nayo!
Naamini ukiwatafuta machief wa kabila lako utapata mwongozo!
 
Salam!

Mimi ni Muumini wa uwepo wa Mungu. Lakini pia huamini dini ni njia ya kumfuata huyo Mungu. Na kila mazingira huwa na dini yao. Waarabu wana Uislam wao, Wayahudi wanayo yao, Wachina wanayo yao. Naombeni ya kwetu Waafrika au hata Watanzania. Ili niungane nayo!
Mizimu
 
YOHANA 14:6

YESU AKAWAAMBIA MIMI NDIMI NJIA NA KWELI NA UZIMA MTU HAJI KWA BABA ILA MIMI.
 
dini ya muafrica ni dini iliyopo KAWE kwa mwamposa
 
Salam!

Mimi ni Muumini wa uwepo wa Mungu. Lakini pia huamini dini ni njia ya kumfuata huyo Mungu. Na kila mazingira huwa na dini yao. Waarabu wana Uislam wao, Wayahudi wanayo yao, Wachina wanayo yao.

Naombeni ya kwetu Waafrika au hata Watanzania ili niungane nayo!

Dini ya waafrika ni Uchawi, kuwanga, kuua na kurogana.
 
Back
Top Bottom