Naamini ukiwatafuta machief wa kabila lako utapata mwongozo!Salam!
Mimi ni Muumini wa uwepo wa Mungu. Lakini pia huamini dini ni njia ya kumfuata huyo Mungu. Na kila mazingira huwa na dini yao. Waarabu wana Uislam wao, Wayahudi wanayo yao, Wachina wanayo yao. Naombeni ya kwetu Waafrika au hata Watanzania. Ili niungane nayo!
MizimuSalam!

Roho za wakubwa wetu waliokufa kitamboNielimishe Chief. Mizimu ni nini?
Salam!
Mimi ni Muumini wa uwepo wa Mungu. Lakini pia huamini dini ni njia ya kumfuata huyo Mungu. Na kila mazingira huwa na dini yao. Waarabu wana Uislam wao, Wayahudi wanayo yao, Wachina wanayo yao.
Naombeni ya kwetu Waafrika au hata Watanzania ili niungane nayo!
Salam!