Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe vitu conk mama... mpaka nimeacha kusoma nyuzi mda wote nko PMacha uoga, wee mwanaume ujue, khaaah


Achana naye huyo niikuwa namzingua ili asiote maluweluwe, huyo wifi yangu bana 😹😹😹Hapo ndo mnanichanganya. Wifi inakujaje sasa!! 🤔🤔
Anhaa , Ila jf kuna pic sijui nifukuzie ipiAchana naye huyo niikuwa namzingua ili asiote maluweluwe, huyo wifi yangu bana 😹😹😹
Tupiamo kapicha kako ka full tuone kama una chura. Tusije kukusumbua inbox kumbe flat screen kama Zuchu.Hi guyz, Wakubwa shikamooni.
Mimi ni mgeni, naomben kujua vitu vya kuzingatia nsije nkajikuta nimepuyanga jomon .
Nshapita hapoMi pasua kichwa huniwezi, labda nikupe pisi kali ya muda wote jf cocastic
Ndio raha ya ban za jf, unakuja kivingine😂2 much🤩=nyamwi.
Kumbe mlishaanzana kutupiana mistari 😂😂😂Nipe vitu conk mama... mpaka nimeacha kusoma nyuzi mda wote nko PM
Mimi na cocastic kwasasa ni romeo and Julieth
😹😹😹 ushapita na uduguu wangu??Nshapita hapo
😹😹😹 Hayo mambo ya pm niliwaachia underground mkuu.!!Tutawezana tu, njoo kwanza PM mengine watoto hawatakiwi kuyasikia
Kudadeq , kumbe mpemba , umenikosa mkuu ... Sipendagi utani kwenye swala la jicho langu😹😹😹 Hayo mambo ya pm niliwaachia underground mkuu.!!
Wewe ongea hapa hapa usikike
Jana muulize alilala wapi😹😹😹 ushapita na uduguu wangu??
😹😹😹 Wee unajua hauko sawa.!!Kudadeq , kumbe mpemba , umenikosa mkuu ... Sipendagi utani kwenye swala la jicho langu
Wewe ni ndume iliyokomaa haswa , uchebe hadi shingoni 😂😹😹😹 Wee unajua hauko sawa.!!
Sasa jicho lako mimi la kazi gani? Mbona unaogopa ogopa wewe