Pre GE2025 Naombeni kujulishwa kifungu kinachomruhusu Rais Samia kugombea Urais 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Iko Hivi; ni kweli Katiba yetu inaruhusu makamu wa Rais kurithi kiti cha Urais pindi Rais aliyeko madarakani anapofariki.

Swali langu, kama Magufuli angekuwepo huu ndiyo ulikuwa muhula wake wa mwisho, ina maana hata lift aliyoipata Samia ndiyo inaishia hapo.

Sasa hiki kipengele cha kumruhusu Samia kugombea tena muhula mwingine kakitoa wapi?
Katiba inaongelea raisi ndo ana mihula miwili na sio makamu
 
Samia ana malizia awamu ya ukatili ya awamu ya 5.asiyekuwepo na LAKE HALIPO.tumeanza upya
 
Katiba ya Chama chake ndio inayomruhusu na ndiyo anayoifuata na Chama chake kimeona anatosha kupeperusha bendera ya Chama kwahiyo anakuwa hazuiwi na Katiba ya Nchi !!

It’s very simple mathematics 🧮. 🙌
SIna hakika lakini nadhani hata katiba ya CCM haimruhusu kuwa mgombea pekee isipokuwa kutokana na kile wao wanachokiita "utamaduni wao" wa kumwachia rais aliyepo madarakani atawale kwa vipindi viwili ndicho kinachompa jeuri hiyo.
 
Iko Hivi; ni kweli Katiba yetu inaruhusu makamu wa Rais kurithi kiti cha Urais pindi Rais aliyeko madarakani anapofariki.

Swali langu, kama Magufuli angekuwepo huu ndiyo ulikuwa muhula wake wa mwisho, ina maana hata lift aliyoipata Samia ndiyo inaishia hapo.

Sasa hiki kipengele cha kumruhusu Samia kugombea tena muhula mwingine kakitoa wapi?
Wewe lete kifungu kinachosema asigombee 2025
 
Umesoma katiba lakini? Samia anaruhusiwa na Katiba na hii ndiyo mara yake ya mwisho, 2030 hataruhusiwa!
Uko sahihi ila katiba inasema urais ni vipindi viwili vya miaka mitano jumla kumi, Bimkubwa akimaliza 2030 miaka kumi haitakuwa imetimia, hapo ndo kuna utata kikatiba japo kiuhalisia inatakiwa Bimkubwa aongezewe muda aliyotumikia Rais Magu ikifika 2030 ili atimize miaka kumi yake.
 
Iko Hivi; ni kweli Katiba yetu inaruhusu makamu wa Rais kurithi kiti cha Urais pindi Rais aliyeko madarakani anapofariki.

Swali langu, kama Magufuli angekuwepo huu ndiyo ulikuwa muhula wake wa mwisho, ina maana hata lift aliyoipata Samia ndiyo inaishia hapo.

Sasa hiki kipengele cha kumruhusu Samia kugombea tena muhula mwingine kakitoa wapi?
Soma ibara ya 40 vifungu 1,2,3,4.

Jibu la swali lako lipo kifungu cha 4.

Kama una swali zaidi karibu.
 
Po
Mleta mada na wewe mwenye comment hii mnasumbuliwa na unyani (apedomia). Soma katiba kila kitu kiko wazi, tena imeandikwa kwa kiswahili.
Pole sana ndugu yangu,hivi unazani Mama Samia kama Magufuri asingekufa akamaliza muhura wake angekuwa na ubavu wa kuchukua form ya kugombea Urais? Anakidhi vigezo?
 
Jibu la swali lako lipo kwenye Katiba ya Tanzania.

* Ibara ya 37 (5) ya Katiba ya JMT inaeleza kwamba endapo Rais atafariki, Makamu wa Rais ataapishwa kuwa Rais ili kuendeleza na kukamilisha awamu ya miaka mitano ya huyo aliyefariki.

* Ibara ya 40 (4) ya Katiba ya JMT inaeleza kuhusu 'Haki ya kuchaguliwa tena' huyo Rais aliyerithi urais, kwamba:

🔷 Endapo amerithi huo urais kwa kipindi kinachopungua miaka mitatu (kabla ya uchaguzi mkuu wa Rais), basi mrithi huyo ataruhusiwa kugombea Urais kwa AWAMU MBILI zijazo za Uchaguzi Mkuu.

🔷 Endapo amerithi huo urais kwa muda wa miaka mitatu au zaidi (kabla ya uchaguzi mkuu wa Rais), basi mrithi huyo ataruhusiwa kugombea Urais kwa AWAMU MOJA tu ijayo ya Uchaguzi Mkuu.

For the case of Rais Samia, alirithi Urais mwaka 2021, ambapo ni miaka MINNE kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. As such, pursuant to the Katiba ya sasa ya JMT, na endapo Chama chake CCM kitampitisha, Mh Rais Samia anaruhusiwa kugombea nafasi ya Urais MARA MOJA tu uchaguzi ujao 2025. Hivyo, uchaguzi mkuu wa 2030 Rais Samia haruhusiwi kugombea tena, unless Katiba ifanyiwe mabadiliko.

Reference: KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

✅ Ibara ya 37 (5)
IMG_20240818_172331.jpg

✅ Ibara ya 40 (4)
IMG_20240818_172531.jpg

-Kaveli-
 
Ajisomee katiba imeandikwa kwa kiswah
Iko Hivi; ni kweli Katiba yetu inaruhusu makamu wa Rais kurithi kiti cha Urais pindi Rais aliyeko madarakani anapofariki.

Swali langu, kama Magufuli angekuwepo huu ndiyo ulikuwa muhula wake wa mwisho, ina maana hata lift aliyoipata Samia ndiyo inaishia hapo.

Sasa hiki kipengele cha kumruhusu Samia kugombea tena muhula mwingine kakitoa wapi?
Iko Hivi; ni kweli Katiba yetu inaruhusu makamu wa Rais kurithi kiti cha Urais pindi Rais aliyeko madarakani anapofariki.

Swali langu, kama Magufuli angekuwepo huu ndiyo ulikuwa muhula wake wa mwisho, ina maana hata lift aliyoipata Samia ndiyo inaishia hapo.

Sasa hiki kipengele cha kumruhusu Samia kugombea tena muhula mwingine kakitoa wapi?
Iko Hivi; ni kweli Katiba yetu inaruhusu makamu wa Rais kurithi kiti cha Urais pindi Rais aliyeko madarakani anapofariki.

Swali langu, kama Magufuli angekuwepo huu ndiyo ulikuwa muhula wake wa mwisho, ina maana hata lift aliyoipata Samia ndiyo inaishia hapo.

Sasa hiki kipengele cha kumruhusu Samia kugombea tena muhula mwingine kakitoa wapi

Uko sahihi ila katiba inasema urais ni vipindi viwili vya miaka mitano jumla kumi, Bimkubwa akimaliza 2030 miaka kumi haitakuwa imetimia, hapo ndo kuna utata kikatiba japo kiuhalisia inatakiwa Bimkubwa aongezewe muda aliyotumikia Rais Magu ikifika 2030 ili atimize miaka kumi yake.
Miaka 5 tu siyo 10.
Ukomo ni vipindi 2 vya miaka mitano mitano
 
Iko Hivi; ni kweli Katiba yetu inaruhusu makamu wa Rais kurithi kiti cha Urais pindi Rais aliyeko madarakani anapofariki.

Swali langu, kama Magufuli angekuwepo huu ndiyo ulikuwa muhula wake wa mwisho, ina maana hata lift aliyoipata Samia ndiyo inaishia hapo.

Sasa hiki kipengele cha kumruhusu Samia kugombea tena muhula mwingine kakitoa wapi?
KATIBA inaruhusu.

Ila lazima apitie mchujo ndani ya chama, watu wachukue fomu ashindanishwe maana hakuwahi pitia mchujo.

Akipita sawa, akishindwa akae pembeni.

Story za fomu Moja ni Hila na uoga wa ushindani ndani ya chama.
 
Back
Top Bottom