D2050
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 1,919
- 1,094
Amani ya bwana iwe nanyi
Naomba kujulishwa mda wa doctor kuingia kazini asubuhi au kuanza kazi zake ni saa ngapi ili niweze kuwashughulikia madaktari wa hospitali ya mkoa wa Ruvuma
Madakitari wa kitengo cha huduma ya NHIF wamekuwa kero sana. Wanafika kazini mda wanaotaka wao. Wagonjwa wanalalamika sana wanawahi asubuhi na mapema daktari anakuja saa tano huu ni uonevu ulio dhahiri kabisa
Wapi naweza nikaenda kuwashitaki madakitari wavivu kama hawa?