Naombeni kujuzwa mda wa doctor kuingia kazini asubuhi

D2050

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
1,919
Reaction score
1,094
Amani ya bwana iwe nanyi
Naomba kujulishwa mda wa doctor kuingia kazini asubuhi au kuanza kazi zake ni saa ngapi ili niweze kuwashughulikia madaktari wa hospitali ya mkoa wa Ruvuma

Madakitari wa kitengo cha huduma ya NHIF wamekuwa kero sana. Wanafika kazini mda wanaotaka wao. Wagonjwa wanalalamika sana wanawahi asubuhi na mapema daktari anakuja saa tano huu ni uonevu ulio dhahiri kabisa

Wapi naweza nikaenda kuwashitaki madakitari wavivu kama hawa?
 
Amani ya bwana iwe nanyi.
naomba kujulishwa mda wa doctor kuingia kazini asubuhi au kuanza kazi zake nisaa ngapi ili niweze kuwashughulikia madakitari wa hosipitali ya mkoa wa ruvuma

madakitari wa kitengo cha huduma ya NHIF wamekuwa kero sana.wanafika kazini mda wanaotaka wao.wagonjwa wanalalamika sana wanawahi asubuhi namapema dakitari anakuja saa tano huu ni uonevu ulio zahili kabisa

wapi naweza nikaenda kuwashitaki madakitari wavivu kama hawa?

Kuna kitu kinaitwa Clinical meeting kila asubuhi....

Inategemea na jambo wanalolijadili kwa siku husika, kukiwa na ishu sensitive wanachukua muda mrefu, Vumilieni.
 
madakitari wanapaswa kujua mda ni mali haiwezekani mgonjwa anakaa kwenye benchi toka saa moja alafu dakitali anafika saa tano.hii siyo sawa kabisa
 
Huu ndiyo utawala wa CCM mliouweka wenyewe, siyo hospitalini tu.

maeneo mengi na ofisi za kiserikali hali ndiyo hiihii unayoiona hapo HOMSO.
 
Amani ya bwana iwe nanyi
Naomba kujulishwa mda wa doctor kuingia kazini asubuhi au kuanza kazi zake ni saa ngapi ili niweze kuwashughulikia madaktari wa hospitali ya mkoa wa Ruvuma

Madakitari wa kitengo cha huduma ya NHIF wamekuwa kero sana. Wanafika kazini mda wanaotaka wao. Wagonjwa wanalalamika sana wanawahi asubuhi na mapema daktari anakuja saa tano huu ni uonevu ulio dhahiri kabisa

Wapi naweza nikaenda kuwashitaki madakitari wavivu kama hawa?

Samahani mkuu kwani NHIF hapo ruvuma wameajiri madaktri?? NHIF
 
Back
Top Bottom