Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko wapi!!?? Tuanzie hapo.Wakuu kwema,
Najua kuna watu wako kwenye hii industry ya hardwares hasa mabati. Nahitaji kujua bei yake ya madukani. Mfano mabati ya msauzi yale bei zake kwa gauges tofauti na size tofauti mnifahamishe tafadhali.
Hiyo Bei ni Kwa pisi Moja la mita 3 au ni Bei ya Kwa mita 1???Sunbank bati moja la cm 90 G30 ni 14000
Na G28 kwa bati moja 17100
Mkuu naomba tenda ya kuezeka
Hii sawa ila sunbank umedanganya mkuu. Umetaja Bei ndogo kuzidi hata Bei za fuyu,tantu,snow leopard,bati Bomba na mengine[emoji28][emoji28]Inategemeana na sehemu ulipo kwa dar kuna alaf na sunbank ndiyo nina jua
Kwa bando G30 alaf ni 638464 bati 16
G28 kwa bando 618500 bati 12