Naombeni kupewa muongozo wa kuandamana hiyo 29/OKTOBA

Naombeni kupewa muongozo wa kuandamana hiyo 29/OKTOBA

Poker

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
7,349
Reaction score
21,802
Ningependa kupata muongozo, yaani kwa hapa Dsm tunakutania wapi? Au unajitokea tu kwa rodi unawasikilizia wenzio. Ningependa kupata muongozo nisije kutoka na bango langu na kuwa chambo wa mfano kwa wengine.

Na vipi siku hiyo kwa wafanyabiashara nao wanafungua biashara zao au wanafunga kuonesha msisitizo?

Jamani nauliza tena yapo kweli nsije toka rodi ikawa kama yale mbowe na bintiye. Naombeni muongozo wa pakuanzia na pakuishia.

Mwisho wa yote vipi kama tusipoandamana nini kitafata mbele yetu?
 
Saa tisa usiku wa kuamkia tarehe 29. Fuatana na aliye mbele yako. Njia yetu ni moja kuelekea magogoni… tunakutana magogoni na mitaa ya posta. Askari monument. Taifa litasimama… bendera itapepea kuashiria mwanzo mpya…nyimbo zitaimbwa kuashiria uhai na uhuru wetu…Sisi ni wana wa Tanzania, sisi si nyumbu…
 
Mbona wengine mara magomeni, mara kariakoo wewe unasema magogoni. Specific haswa ni wapi nisije enda location sio hata policcm wakabaki wanacheka.
 
Maandamano yatoke wapi wajuba? Hili ni dua la kuku halimpati mwewe. Nani yuko tayari kwenda kupambana na polisi waliojizatiti kwa silaha kali na magari yao ya maji ya pilipili? Hali ya umasikini ni mbaya hakuna mwenye muda wa kwenda kuandamana achilia mbali kwenda kupiga kura
 
Mbona wengine mara magomeni, mara kariakoo wewe unasema magogoni. Specific haswa ni wapi nisije enda location sio hata policcm wakabaki wanacheka.
Wewe anzia ulipo utakutana na wenzako km wanaopiga jogging wanavyofanya na wewe fanya hivyo
 
Back
Top Bottom