Tutawapiga kama ngomaMzee tushajioganize tunaanzia magomen hapa
Mbona wengine mara magomeni, mara kariakoo wewe unasema magogoni. Specific haswa ni wapi nisije enda location sio hata policcm wakabaki wanacheka.Saa tisa usiku wa kuamkia tarehe 29. Fuatana na aliye mbele yako. Njia yetu ni moja kuelekea magogoni… tunakutana magogoni na mitaa ya posta. Askari monument. Taifa litasimama… bendera itapepea kuashiria mwanzo mpya…nyimbo zitaimbwa kuashiria uhai na uhuru wetu…Sisi ni wana wa Tanzania, sisi si nyumbu…
Kiufupi jiji zima. Wewe toka utawaona waandamanajiMbona wengine mara magomeni, mara kariakoo wewe unasema magogoni. Specific haswa ni wapi nisije enda location sio hata policcm wakabaki wanacheka.
kwani nyie ni polisi?Tutawapiga kama ngoma
Utani tu bhana😀kwani nyie ni polisi?
Utampiga nani anakuangalia tu unapiga ngoma ku.mamako kabisa weweTutawapiga kama ngoma
Utani tu jaman😀😀Utampiga nani anakuangalia tu unapiga ngoma ku.mamako kabisa wewe
Wewe anzia ulipo utakutana na wenzako km wanaopiga jogging wanavyofanya na wewe fanya hivyoMbona wengine mara magomeni, mara kariakoo wewe unasema magogoni. Specific haswa ni wapi nisije enda location sio hata policcm wakabaki wanacheka.