JAY EXCLUSIVE
Member
- Mar 5, 2021
- 8
- 7
Mimi nimemeliza elimu ya secondari 2020 naitaji ku apply chuo nina ufaulu wa 4 ya 27, naombeni kushauriwa ni kozi gani yenye ajira? Ninayoweza kuajiriwa kwa haraka na kujiajiri vile vile, naombeni msaada wa JF
Nilikuwa nimshafanya uchaguzi nikasomee IT but nimegundua ajira ni ndogo kiteknolojia au nilikua sawa? Naombeni ushauri waungwana wa JamiiForums.
Nilikuwa nimshafanya uchaguzi nikasomee IT but nimegundua ajira ni ndogo kiteknolojia au nilikua sawa? Naombeni ushauri waungwana wa JamiiForums.