JAY EXCLUSIVE
Member
- Mar 5, 2021
- 8
- 7
- Thread starter
- #21
thanks kwa ushauri broSoma IT, Soma IT na jaribu kuwa competent kwenye sehemu utakayo specialize.
thanks kwa ushauri broSoma IT, Soma IT na jaribu kuwa competent kwenye sehemu utakayo specialize.
yeah ajuh anachokiongea for realHujui unachoongea wewe.
Kapige mechanics , hata vyuo vya mitaani kwa mwaka mmoja tuu utakuja kunishukuruMimi nimemeliza elimu ya secondari 2020 naitaji ku apply chuo nina ufaulu wa 4 ya 27, naombeni kushauriwa ni kozi gani yenye ajira? Ninayoweza kuajiriwa kwa haraka na kujiajiri vile vile, naombeni msaada wa JF
Nilikuwa nimshafanya uchaguzi nikasomee IT but nimegundua ajira ni ndogo kiteknolojia au nilikua sawa? Naombeni ushauri waungwana wa JamiiForums.
Issue ya ajira ni ngumu sana sasa hivi. Ila kama unataka kutengeneza malengo mazuri kutokana na kiwango chako cha elimu, nenda Chuo cha Usafirishaji au Veta kasomee udereva. Ajira ni nyingi sana serikali, kwenye idara zake, halmashauri na taasisi binafsi. Huwa kila mwezi hayakosi matangazo.Mimi nimemeliza elimu ya secondari 2020 naitaji ku apply chuo nina ufaulu wa 4 ya 27, naombeni kushauriwa ni kozi gani yenye ajira? Ninayoweza kuajiriwa kwa haraka na kujiajiri vile vile, naombeni msaada wa JF
Nilikuwa nimshafanya uchaguzi nikasomee IT but nimegundua ajira ni ndogo kiteknolojia au nilikua sawa? Naombeni ushauri waungwana wa JamiiForums.