JAY EXCLUSIVE
Member
- Mar 5, 2021
- 8
- 7
okey asante bro but nilikua ARTS je naweza somea afya....?Somea kada za afya ndio zina ajira, pia mambo ya ufundi hasa makenika na umeme unaweza kujiajiri na kuajiriwa haraka . IT utapotea, graduates ni wengi sana, kuna degree na masters kibao mtaani. Otherwise kama unataka kujiajiri maana mtu wa IT kujiajiri inawezekana japo hailipi sana.
tourism..?Kapige tourism an hospitality chuo cha taifa cha utaliii.. Utanishkuru
asante kwa ushauri bro mimi binafsi napenda IT sema ajira ndio mtihanHakuna kozi mbaya wala nzuri kikubwa somea kiti upendacho na tafuta connection
Yah.. hospitalitytourism..?
Afya inahitaji uwe umesoma physics chemistry na biology. Ufaulu usiopungua alama Dokey asante bro but nilikua ARTS je naweza somea afya....?
Soma ajira nyingi ohoooasante kwa ushauri bro mimi binafsi napenda IT sema ajira ndio mtihan
Hujui unachoongea wewe.Somea kada za afya ndio zina ajira, pia mambo ya ufundi hasa makenika na umeme unaweza kujiajiri na kuajiriwa haraka . IT utapotea, graduates ni wengi sana, kuna degree na masters kibao mtaani. Otherwise kama unataka kujiajiri maana mtu wa IT kujiajiri inawezekana japo hailipi sana.
really..?Ningeweza kurudisha muda nyuma ningesomea IT