Naombeni kushauriwa ni ninayoweza kuajiriwa kwa haraka na kujiajiri?

Kapige mechanics , hata vyuo vya mitaani kwa mwaka mmoja tuu utakuja kunishukuru
 
Issue ya ajira ni ngumu sana sasa hivi. Ila kama unataka kutengeneza malengo mazuri kutokana na kiwango chako cha elimu, nenda Chuo cha Usafirishaji au Veta kasomee udereva. Ajira ni nyingi sana serikali, kwenye idara zake, halmashauri na taasisi binafsi. Huwa kila mwezi hayakosi matangazo.
Ukiajiriwa jipange fanya miaka mitatu kisha kama serikalini nenda kasome cource ya community development au social work.
Hapo utakuwa na fursa nyingi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…