Naombeni kwa sasa tumsapoti comedian maneno kumi anatosha

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Huyu jamaa wa iliyokuwa jambo na vijambo mwana dar es salam ambaye pia ni mc kwa sasa ndiye msanii wa vichekesho ninayemfuatilia sana anajua sana na ni genius naombeni huyu tuone nafasi awike amefanya kazi kubwa na hawajawi kum acknowledge..watoto wa mama tupa Kule tunaenda na dokta maneno 10.
 
Attachments

  • hq720.jpg
    hq720.jpg
    25 KB · Views: 22
Njaa tu inawasumbua, wafanye kazi waache kutegea mdomo badala ya mikono.
 
Huyu jamaa wa iliyokuwa jambo na vijambo mwana dar es salam ambaye pia ni mc kwa sasa ndiye msanii wa vichekesho ninayemfuatilia sana anajua sana na ni genius naombeni huyu tuone nafasi awike amefanya kazi kubwa na hawajawi kum acknowledge..watoto wa mama tupa Kule tunaenda na dokta maneno 10.
Uyu anashika no 1 kwa kuongopa Duniani
 
Huyu jamaa wa iliyokuwa jambo na vijambo mwana dar es salam ambaye pia ni mc kwa sasa ndiye msanii wa vichekesho ninayemfuatilia sana anajua sana na ni genius naombeni huyu tuone nafasi awike amefanya kazi kubwa na hawajawi kum acknowledge..watoto wa mama tupa Kule tunaenda na dokta maneno 10.
Ndo kwanza namjua kutoka kwako. Ama ndio wewe unajipromote?
 
Huyu jamaa wa iliyokuwa jambo na vijambo mwana dar es salam ambaye pia ni mc kwa sasa ndiye msanii wa vichekesho ninayemfuatilia sana anajua sana na ni genius naombeni huyu tuone nafasi awike amefanya kazi kubwa na hawajawi kum acknowledge..watoto wa mama tupa Kule tunaenda na dokta maneno 10.
Anatumia jina lipi?
 
Back
Top Bottom