Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 1,831
- 5,489
Jamani naombeni elimu. Na mimi nikae niwasikilize. Nasikia mnasema Israel hawa sio wale waliochukuliwa na Musa kutoka Misri kwenda Canaan.
If so, okay, wale wa Musa wapo wapi? Waliishia wapi? Na hawa wapya wametoka wapi?
Daudi alitaka ajenge hekalu la Mungu, Mungu akamzuia, akamwambia mikono yako imejaa damu sana, asingeweza kufanya hivyo, akaambiwa mtoto wako atalijenga, Suleimani alipokuja, akalijenga na ndilo mpaka leo lipo Yerusalemu na watu wanasema upande mmoja kanisa, mwingine msikiti.
Wajuvi wa mambo naombeni mniambie hayo maswali, je, wale wa zamani walikwenda wapi? Na hawa wapya wametoka wapi? Manake wana akili sana kama wale wa zamani, mataifa makubwa yote yapo chini yao, na hekalu ambalo Sulemani alilijenga lipo.
Naombeni majibu inawezekana nipo nyuma.