Naombeni majibu wakulungwa wa kaya

Naombeni majibu wakulungwa wa kaya

1Africa54

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2025
Posts
464
Reaction score
549
Eti wajuba tunao daiwa na heslb ivi Kuna msamaha wa deni au ndio majonzi

Au Kuna ka upenyo ka kuomba kupunguziwa deni 🤣🤩🙌

Usinikatishe tamaa sasa nambichwa wako utajibu ovyo🤣🔥🤩
 
Eti wajuba tunao daiwa na heslb ivi Kuna msamaha wa deni au ndio majonzi

Au Kuna ka upenyo ka kuomba kupunguziwa deni [emoji1787][emoji2956][emoji119]

Usinikatishe tamaa sasa nambichwa wako utajibu ovyo[emoji1787][emoji91][emoji2956]
Lipa deni mkuu.
 
Kuna mtu namjua anaweza kukupunguzia mil 14 ikawa mil 4, ila yeye iliobaki (mil 10) unampa cash nusu (mil 5).

This message will self-destruct in 5 minutes.
 
Kuna mtu namjua anaweza kukupunguzia mil 14 ikawa mil 4, ila yeye iliobaki (mil 10) unampa cash nusu (mil 5).

This message will self-destruct in 5 minutes.
Uooooooooongoooooooooooooooooo
 
Back
Top Bottom