Naombeni majina ya nyimbo nzuri RC

.
 

Attachments


Omba katika menu hiyo nishushe audio kwanza ujipakulie.
 

Uko vizuri.

Natafuta wimbo ambao huwa unaimbwa wakati padri akizunguka altare nakufukiza ubani,wakati wa mageuzo;kama sikosei unaimbwa hivi [emoji444]

[emoji445] Sala yangu ipaee mbele zako Bwana,kama Moshi wa ubani Altareni,na kuinuliwa kwa mikono yakoo,iwe kama sadakaa ya jioni..[emoji443]

Halafu kunakuwepo na kibwagizo cha 'Sadaka'

Nimejaribu kuutafuta ila sijafanikiwa kuupata.!!
 
Nimeuona.Kwaya ya Mt. Kizito Makuburi- Sala yangu ipae

Niwekee audio yake Mtumishi
 
 

Attachments

Ahsante sana
 
Habari mkuu,kuna tune ya wimbo Huu SALA YANGU una maneno the same Ila unaimbwa tofauti.Naomba kama unao uubandike.Nitashukuru sana
 
Mkuu hizi nyimbo zote naweza ku download wapi ? Manake nikiwa nasafiri njia nzima sitasinzia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…