Naombeni majina ya nyimbo nzuri RC

Naombeni majina ya nyimbo nzuri RC

Nimempiga shetani, chenga ya mwili, kuisalimisha roho yangu, kuisalimisha roho...
Nimempokea Yesu, moyoni mwangu, nipate uzima wa milele ili niishi milele....

Mwenye huu wimbo naomba, umenisotesha sana hadi leo sijaupata
 
Kuna ile nakumbuka shule tulikua tunaimba hivi, kwa anaejua inaitwaje tafadhar share nami
'' nimesikia wimbo wa kumsifu Munguu
Misosolatidooo
Misoso lugha ya muzikiiii

Nimependezwa sana kumuimbia Munguu
Misosolatidoo
Misoso lugha ya muzikii

Waimbaji wana.....
Miledo doledosidorafasodoooo
Dolemifamiree faree
Doti laso Mungu weetuuuu
 
Back
Top Bottom