Mimi naomba mwenye wimbo ule "ninaondoka ninakwenda kwa baba yangu,nakumwambia baba baba baba nimekosa juu ya mbingu na mbele yako" na mwingine maneno yake yanasema " nitarudi na kusema,baba yangu nisamehe, nimekosa kwa imani na mbele yako baba, nashiriki na nguruwe"
Wimbo wa WATUMISHI WAKE BABA ingia YouTube itafute hii Kwaya (ST. PAUL'S PRAISE & WORSHIP, UNI OF NAIROBI) alafu download video yake ni nzuri sana. Hapa nimeweka nyimbo 2 ila zimeimbwa na Kwaya tofauti.
Mwenye wimbo wa NITAONDOKA wenye kuchuja vizuri naomba atuwekee kwenye hii thread.
Watumishi Wake Baba Lyrics
Watumishi wake Baba wangapi waliopo,
Wanakula na kusaza chakula chake Baba.
Chorus:-
Nami - Nami nataabika hapa
Nashi - Nashiriki na nguruwe
Chaku - Chakula kisichofaa, yanipasa kurudi
Nita - Nitarudi na kusema
Baba - Baba yangu nisamehe
Nime - Nimekosa kwake Mungu, na mbele yako Baba
Baba ka - Baba kamwona yu mbali kashikwa na huruma
Akaki - Akakimbia kumlaki kamkumbata na busu
Chorus:-
Nami - Nami nataabika hapa
Nashi - Nashiriki na nguruwe
Chaku - Chakula kisichofaa, yanipasa kurudi
Nita - Nitarudi na kusema
Baba - Baba yangu nisamehe
Nime - Nimekosa kwake Mungu, na mbele yako Baba
Baba si - Baba sistahili tena kuitwa mwana wako
Unifa - Unifanye kama mmoja wa watumishi wako
Chorus:-
Nami - Nami nataabika hapa
Nashi - Nashiriki na nguruwe
Chaku - Chakula kisichofaa, yanipasa kurudi
Nita - Nitarudi na kusema
Baba - Baba yangu nisamehe
Nime - Nimekosa kwake Mungu, na mbele yako Baba
Baba ya - Baba yangu nimekosa ninaomba huruma
Unisa - Unisamehe nirudi nikakutumikie
Chorus:-
Nami - Nami nataabika hapa
Nashi - Nashiriki na nguruwe
Chaku - Chakula kisichofaa, yanipasa kurudi
Nita - Nitarudi na kusema
Baba - Baba yangu nisamehe
Nime - Nimekosa kwake Mungu, na mbele yako Baba
Unika - Unikaribisha mimi kwenye karamu yako
Meza I - Meza imeandaliwa inaningoja mimi
Chorus:-
Nami - Nami nataabika hapa
Nashi - Nashiriki na nguruwe
Chaku - Chakula kisichofaa, yanipasa kurudi
Nita - Nitarudi na kusema
Baba - Baba yangu nisamehe
Nime - Nimekosa kwake Mungu, na mbele yako Baba
Nasoge - Nasogea ninakuja ninakukimbilia
Mimi ni - Mimi ni mtoto mpotevu Baba unipokee
Chorus:-
Nami - Nami nataabika hapa
Nashi - Nashiriki na nguruwe
Chaku - Chakula kisichofaa, yanipasa kurudi
Nita - Nitarudi na kusema
Baba - Baba yangu nisamehe
Nime - Nimekosa kwake Mungu, na mbele yako Baba
Nimekula nimeshiba nakushukuru Baba
Chakula kama asali asante sana Baba