Kapwil
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 2,625
- 3,735
Hongera sana kununua gari hiyo ni ndoto ya kila mmoja kuna wengine wanaondoka duniani hajatimiza ndoto hiyo.huyo jamaa utashangaa hata baiskeli hanaHata mke wako kuna watu hawampendi kabisa hata kumuona lakini wewe ndio umekufa umeoza hapo
Si kila unacho penda wewe basi kila mtu atakipenda na ndio maana hata mimi siipendi kabisa hiyo corolla 110 yaani siipendi hata kuiona