Naombeni makadirio ya gharama zifuatazo

Naombeni makadirio ya gharama zifuatazo

Baada ya kujichanga changa hatimae nimetimiza mpango wangu wa mda mrefu wa kujikomboa na swala la usafiri mwezi huu, juzi nimekamata chombo changu rasmi..ni Toyota Opa nimeikwarua kwa jamaa yangu mmoja hapa mjini.

Kulikuwa na minor issues ambazo alinifahamisha juu ya gari na ambazo nime notice nikiwa na fundi nilieenda nae for checkup.

1. Mtetemo wa body gari ikiwa silencer, ila ikianza kutembea inakuwa freshi tu mpaka nikikaribia 3 RPM. Fundi aliniambia ni engine mount, na kweli ilionekana hata mpira wake wa juu umekatika pale ilipofungwa bolt.

2.Mguu wa kushoto una kelele flani ambayo ni stabilizer link inabidi kurekebishwa.

3.Silencer naona kama iko juu, nimetembea kilometre kama 600km baada ya kuichukua. Nikiwa zaidi ya speed 100-130 naona RPM inakimbilia 3

Hebu nipeni makadirio ya gharama ya kufuta hizo issues japo hazinizuii kutembelea gari.
Chief naona ahadi yako ya mwezi wa saba kutembelea mat.ako imetimia,safi sana achana na wanaokubeza kwani gar ni gar tu wote mnapanga folen kweny mataa
 
Jamaa post za kibabe sana huwa nakuchukulia don flan hivi, kufungua nakuta oppa[emoji1]
Haha kwani Don hawezi kuendesha gari ya kawaida mkuu au umesahau life is all about Choices😆😆😆, kumbuka awamu ya 5 haihitaji mbwembwe arif!
 
Eeh mkuu tunatekeleza moja baada ya moja, awamu ya 5 hii 😆😆😆
Chief naona ahadi yako ya mwezi wa saba kutembelea mat.ako imetimia,safi sana achana na wanaokubeza kwani gar ni gar tu wote mnapanga folen kweny mataa
 
Baada ya kujichanga changa hatimae nimetimiza mpango wangu wa mda mrefu wa kujikomboa na swala la usafiri mwezi huu, juzi nimekamata chombo changu rasmi..ni Toyota Opa nimeikwarua kwa jamaa yangu mmoja hapa mjini.

Kulikuwa na minor issues ambazo alinifahamisha juu ya gari na ambazo nime notice nikiwa na fundi nilieenda nae for checkup.

1. Mtetemo wa body gari ikiwa silencer, ila ikianza kutembea inakuwa freshi tu mpaka nikikaribia 3 RPM. Fundi aliniambia ni engine mount, na kweli ilionekana hata mpira wake wa juu umekatika pale ilipofungwa bolt.

2.Mguu wa kushoto una kelele flani ambayo ni stabilizer link inabidi kurekebishwa.

3.Silencer naona kama iko juu, nimetembea kilometre kama 600km baada ya kuichukua. Nikiwa zaidi ya speed 100-130 naona RPM inakimbilia 3

Hebu nipeni makadirio ya gharama ya kufuta hizo issues japo hazinizuii kutembelea gari.
KAKA MCHEKI HUYU JAMAA YUPO SINZA MORI YUKO POA SANA ANAWEZA KUPA MCHANGANUO WOTE NA NI FUNDI PIA 0718750390
 
PONGEZI AFISA KWA KUMILIKI CHUMA.. KUJIPANGA MPAKA KUKIMBIA NA MAKALIO BARABARANI SIO MCHEZO MCHEZO.
Asante boss kazi, ni kukaza tu kibishi bishi life lisonge.
 
Opa ukiipiga mguu wa hatari inatoka kinoma Yani!

Ila hongera kwa kuasi kambi ya TZ11 mkuu.....wacha wengine tuendeleze uzalendo wetu maana hakuna namna
😀😀😀😀😀 Eeh mkuu, inakaa mkao sana yani...Aisee nikweli nimeasi kupiga ng'oko ila tukaze tu kila kitu inawezekana wazee.
 
Hahaha mzee wa kazi itakua kuna kitu tunafanana huwezi amini tangu juzi nimeanza kuangalia Toyota Opa na nimeshaanza kuimagine kuichukua hio ingawa spidi yake ipo katikati hii ni baada ya mikiki mimiki ya Crown kunishinda kuwavua wabongo wanakomaa 12m
 
Back
Top Bottom