Hongera sana kununua gari hiyo ni ndoto ya kila mmoja kuna wengine wanaondoka duniani hajatimiza ndoto hiyo.huyo jamaa utashangaa hata baiskeli hanaHata mke wako kuna watu hawampendi kabisa hata kumuona lakini wewe ndio umekufa umeoza hapo
Si kila unacho penda wewe basi kila mtu atakipenda na ndio maana hata mimi siipendi kabisa hiyo corolla 110 yaani siipendi hata kuiona
Gari ya kizee imekaa kama imeangukiwa na mti bwana gari ndeeefu utazania mwanamke wa kimasai
Wewe huijui Corolla huenda unanifananisha na cresta, corolla haijawahi kuwa ndefu toleo zao zote walizotoa.
Kipendacho roho baba...kumbuka magari ni kama mavazi...Opa? Gari siipendi bora ungenunua corolla 110 gari ya kiume unanunuaje opa bhna dah
90 ni ndogo sana...Haifiki elfu90 kwa vifaa na ufundi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Jiandae na mizinga toka kwa ndugu na jamaa.. Ushakuwa tajiriAsante kamanda,sasa nami ngoja nione kama yale yaliosemwa kuwa ukiwa na gari tu yanatokeaga kama ni kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
Nikupe mtu uongee nae yupo vyemaAsante mkuu kwa mchango wako, atleast umestick na mada husika umenipa mwangaza.
Hata ikifikia hapo sio aghali sana. Ngoja nifanye mpango wa kwenda kuondoa hizo mushkeli zote.90 ni ndogo sana...
Engine mounts hapo 45000 mpka 50000 kwa moja... stabilizer link haipungui 40000 mpaka 50000 kulingana na ubora....ufundi ni kupatana ila sidhani kama itapungua 40000..
Hiyo silencer kuwa juu ni case nyingine...sina uzoefu....
Yani kwa kifupi akiwa na 250,000/ hizo taabu zote zinakwisha
Sawa sawaHapo kwenye Engine mounting kama ni moja tu sidhani kama inazidi 50,000.Kwa upande wa stabilizer links pia sidhani kama inazidi 50,000 kwa moja.Hapo kwenye kurekebisha silencer ndio sina uzoefu kwani ni issues za engine,ila kwa hizo case mbili ufundi hautazidi 50,000.Ushauri wangu ni kuwa siku ukiamua kuipeleka kwa fundi hakikisha unakuwepo garage mpaka wanamalliza ufundi na kila kitu cha kununua kinapohitajika unakwenda na fundi dukani kununua...
Sijawahi kuponda gari za Toyota mkuu...isipokuwa tu kuna baadhi ya gari sizipendi jinsi zilivyo. All boxy shaped cars mi ni fan wao.Hongera
Japo nakumbuka thread nyingi huwa unaziponda sana gari ndogo
Na aina ya toyote, imekuwaje mkuu nawe wabeba Toyota?