Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Atakua anatuzuga huyuJamaa post za kibabe sana huwa nakuchukulia don flan hivi, kufungua nakuta oppa[emoji1]
Usiombe kupewa uchekeche hio gari sehemu finyu..hutokii😅😂😂Gari ya kizee imekaa kama imeangukiwa na mti bwana gari ndeeefu utazania mwanamke wa kimasai
DuhHuu uzi ulisababisha niiuze Opa yangu.
Hatimae 2019 RAV 4 imepata muonekano mpya wa kiume
Naweza kusema Toyota ameanza kurudi kwenye mstari wa kutengeneza vyombo vya uhakika baada ya kutoka kutufyatulia uchafu kadhaa kati ya miaka 2012-2017 hapo. Wale designer wa gari ambazo hazitazamiki nadhani watakuwa wameshapangiwa kazi nyingine mpaka sasa kama sio kuwa fired kabisa. Kuna...www.jamiiforums.com