Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanangu bado sanaNisipoteze muda, moja kwa moja kwenye mada.
Beat hiyo hapo chini kwa wajuzi unaweza kusikiliza na kutoa feedback, wapi hapako sawa, wapi na nini kimevuruga, nini niongeze na nini nipunguze nk.
Karibuni.
Humu mbona kuna miondoko ya new york alafu ikachanganywa tena ila ww imba mapenzi humo ndani watu wataipendaNisipoteze muda, moja kwa moja kwenye mada.
Beat hiyo hapo chini kwa wajuzi unaweza kusikiliza na kutoa feedback, wapi hapako sawa, wapi na nini kimevuruga, nini niongeze na nini nipunguze nk.
Karibuni.
Kuna kitu umeongea hapo nina melody ya hii beat kwa upande wa vocal yaani slow RnBHumu mbona kuna miondoko ya new york alafu ikachanganywa tena ila ww imba mapenzi humo ndani watu wataipenda
Fanyia kazi huenda ndio njia yako ya kutokeaKuna kitu umeongea hapo nina melody ya hii beat kwa upande wa vocal yaani slow RnB
Nikiflow pekeyangu mwenyewe najiona kama r kelly 🤣🤣🤣 acha kabisa