Jitahidi na chumba kingine (tunapenda kukiita chumba cha watoto wa kike) kiwe self contained. Watoto wa kike kujichanganya na choo cha public ni shida kidogo.Wakuu mambo vipi.
Nina ramani ambayo nimeandaa kwa ajili ya kujenga nyumba ya vyumba vitatu.(1 master bedroom + 2 normal rooms).
Nyumba itapauliwa kwa mtindo wa Hidden Roof a.k.a contemporary
Naombeni mawazo yenu juu ya hii ramani.
- Nini cha kuboresha?
- Nini kimekosewa/hakijakaa sawa?
- Nini cha kurekebisha?
- Nini niondoe/nipunguze?
Nimeambatanisha hapa chini ramani yenyewe.
View attachment 2521843
Nimekupata mkuu point yako, it makes a lot of sense... Ingawa watu wengine huwa wanasema chumba cha wazazi kijifiche.... so nikaona nikifiche hapo kwa nyuma kwa staili hiyo...Kwa nini master bedroom inakaa uwani? Yaani watoto wakae mbele wewe mwenye nyumba ujifiche uwani! Fanya uwezavyo chumba chako kikae mbele uwe na uwezo wa kuona chochote kinachotokea eneo la mbele la nyumba ikiwezekana uone na gate kubwa la mbele.
Mkuu, nashukuru kwa mchango wako.Kutoka sebuleni hadi ufike chumbani kama umeshiba msosi wote unaishia njiani kwa safari hiyo..
Na hizo Kona Kona zilivyonyingi ukiwa umekunywa vitu vyetu si tutajikuta umejigonga ukutani au kupotea ndani ya nyumba yako.Mkuu, nashukuru kwa mchango wako.
Nataka sebule ikae hapohapo ilipo.... nafikiri nikipunguza urefu wa hiyo corridor(kwa kuondoa huo ukuta wa koridor unaotenganisha dining, foyer na ofisi) labda itasaidia
Boresha washroom ya masters choo kikae kama ile public toilet kikae kuegemea ukuta wa nje
- Nini cha kuboresha?
Hakijakosewa wala sio hakijakaa sawa but it's more convenient
- Nini kimekosewa/hakijakaa sawa?
Ukiweza kupunguza ukubwa wa vyumba vingine, nyumba za kisasa kila chumba ni self!.
- Nini cha kurekebisha?
Kama the house is too small, kuliko kuwa na home office, fanyia kazi zako dining uongeze self.
- Nini niondoe/nipunguze?
Kwamba aongeze room nyingine? Ziwe jumla 4 badala ya 3Boresha washroom ya masters choo kikae kama ile public toilet kikae kuegemea ukuta wa nje
Hakijakosewa wala sio hakijakaa sawa but it's more convenient
Ukiweza kupunguza ukubwa wa vyumba vingine, nyumba za kisasa kila chumba ni self!.
Kama the house is too small, kuliko kuwa na home office, fanyia kazi zako dining uongeze self.
P
No aondoe home office a sqeez space aongeze two washrooms.Kwamba aongeze room nyingine? Ziwe jumla 4 badala ya 3
Tafuta ramani nyingine ambayo chumba chako kitakuwa mashariki, chumba cha watoto wa kiume mashariki, halafu cha watoto wa kike kusini.Wakuu mambo vipi.
Nina ramani ambayo nimeandaa kwa ajili ya kujenga nyumba ya vyumba vitatu.(1 master bedroom + 2 normal rooms).
Nyumba itapauliwa kwa mtindo wa Hidden Roof a.k.a contemporary
Naombeni mawazo yenu juu ya hii ramani.
- Nini cha kuboresha?
- Nini kimekosewa/hakijakaa sawa?
- Nini cha kurekebisha?
- Nini niondoe/nipunguze?
Nimeambatanisha hapa chini ramani yenyewe.
View attachment 2521843
Ukimpiga mama watoto🤣🤣🤣Yaani "ukimpiga" mama watoto/wageni wakiwa chumbani kwako wanasikia.
Asante mkuu, naona hapa nimepokea sana ushauri wa kuiondoa master nyuma na kuiweka mbele... na wewe umekazia hilo.Bedroom 1 (iliyo karibu na bedroom 2) inaweza ikawa master pia kama tu ukiifanya ifuatane sambamba na hicho chumba kingine kilichoitwa bedroom 1 pia...
Then huo muendelezo wa korido unautumia kuweka WC...