Naombeni mawazo yenu kuhusu hii ramani ya nyumba yangu

Kwa nn kusiwe na choo nje kabisa huko?Vya ndani ni Vya wanafamilia sio muuza samaki kapita anabanwa na haja ndogo unampeleka ndani.
Choo Cha nje kitakuwepo mkuu... hiki cha ndani ni kwa ajili ya wanafamilia na mgeni anayekuja nyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…