African Geek
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 817
- 1,470
app ya ku-track namba ya simu ya mtu, na ikuletee location kwenye ramaniApp inayohusiana na masuala gani au inayotatua changamoto gani
Wazo zuri sana hili, Nitalifanyia kaziapp ya ku-track namba ya simu ya mtu, na ikuletee location kwenye ramani
Asante kwa mchango wako. Ila hii ya nida copy ni mpaka nipate API yao na ni ngumu kupatikana mana hata wao wenyewe wamesitisha huduma ya kutoa copy za vitambulisho.kama uko makini chagua moja hapa
online nida copy
Kuuza za mitandao yote
Kusajili line mitandao yote
Asante sana mkuu nitashukuru. Pia sio mbaya ukiweka japo screenshot ya project zako tufaidike na tuwe motivated sisi mabeginner 🙂If possible ukifanikiwa kuipata idea na kuweka project git ningependa kuchangia, nimeanza flutter mwaka jana hadi sasa nina project mbili nimezifanya kwa flutter, kwa bahati mbaya siwezi kuzitaja hapa
Imenyooka sana hii. Nadhani hii ni best optionNjia nzuri ya kuunda ni ku-observe ww mwenyewe vitu wanavyofanya kundi Fulani la watu halafu tazama mwenyewe kitu gani unaweza kusolve Kwa mfano unaweza kutazama shughuli za walimu baada ya hapo unaweza unda kitu na ukaanza kuuza kwenye mashule bila hata kutegemea ads kama chanzo cha revenue ya app yako.
Ndio maana kampuni kubwa zinawekeza kwenye R&D
Ni rahisi sana, nina push to pay API za Airtel & Tigo, ungependa nikupatie?? Lakini pia ili kukamilisha hillo kama unataka ku intergrate na operator moja kwa moja hakikisha una server iliyokuwa hosted kwenye mazingira yenye uwezekano wa ku establish ipSec vpn, ingawaje kwa airtel wao wanatumia open Api hawahitaji mambo ya ipSec tunnel. Kwa kuanzia unaweza anza na Airtel hawana mchakato mrefu compare to other operators.Mimi ni flutter developer, shida yangu kubwa ni mfumo wa malipo, naitaji msaada kwa mtu anaeweza ku intergreate mfumo wa malipo yaani mtumiaji aweze lipia kwa mpesa , Airtel au Tigopesa .
Kaka shukran, nitakutafuta ndg yanguNi rahisi sana, nina push to pay API za Airtel & Tigo, ungependa nikupatie?? Lakini pia ili kukamilisha hillo kama unataka ku intergrate na operator moja kwa moja hakikisha una server iliyokuwa hosted kwenye mazingira yenye uwezekano wa ku establish ipSec vpn, ingawaje kwa airtel wao wanatumia open Api hawahitaji mambo ya ipSec tunnel. Kwa kuanzia unaweza anza na Airtel hawana mchakato mrefu compare to other operators.
Hii atapata changamoto tcra na mitandao ya simu watamzinguaapp ya ku-track namba ya simu ya mtu, na ikuletee location kwenye ramani
Ila wewHabari wana JF, Mimi ni Developer ( Web & Mobile ). Nina uzoefu na web development upande wa Backend na Frontend. Pia nimejifunza mobile app development kwa Flutter na nimefanikiwa kufanya project kadhaa ndogo ndogo kwa ajili ya kujiimarisha na kupata uzoefu wa kile nilichojifunza.
Kwa sasa nimeweka nia ya kufanya project rasmi ambayo nitaiweka Play Store na App Store. Hivo nilikua naomba mawazo yenu niweze kuanza hii project. Je, nitengeneze App inayohusiana na masuala gani au inayotatua changamoto gani ?
MCHANGO WAKO NI MUHIMU SANA. NATANGULIZA SHUKRANI [emoji120]
Akiweza hii project, hela yake ipo nje nje. Nyingineapp ya ku-track namba ya simu ya mtu, na ikuletee location kwenye ramani