Katika kila wanawake 10 niliowahi kuwakopesha, deni linarudishwa kwa wakati na 90% yao.
Katika kila wanaume 10 niliowahi kuwakopesha, deni linarudishwa kwa wakati na 10% yao.
Hiyo ndio tofauti, na wala si ubaguzi, ni takwimu zangu zinaonesha hivyo. Jee, kwa takwimu hizo wewe utamuani nani hapo?
Tangu lini Tv na Fridge vikawa "assets"? Asset is anything that puts money into your pocket, Liability is anything that takes money from your pocket.
Nina Tv inch 24 Sony na Fridge ndogo
Naombeni mkopo wa tshs 250,000\=
Mpaka tarehe 15/12\2012
Alie tayari tuwasiliane plizzzz...[/QUOTEN
Ni pm namba yako ingawaje inaweza isfike 2500,000 lkn nitakuwa nimekusumkuma safari yako
Wewe umepata wapi hii definition, kwa mazingira haya, its not the principle one!
Ya kwanza kabisa ambayo ni 250,000\=
Ya kwanza kabisa ambayo ni 250,000\=
Mimi natafuta million mbili na nusu nataka nianze biashara,maana nimefanya kazi serikalini bila kupata mafanikio. Nimefundisha mwaka wa tatu sasa na nimefanikiwa kusomesha mdogo wangu pamoja na mtoto wa kakangu ambaye babake mzazi ni marehemu na wote wamemaliza fomu 4. Kwa kifupi mimi ni mtoto pekee niliyesoma katka familia na nina wategemezi akiwemo mama mzazi. Niko tayari kuelekezwa ni biashara gani nifanye tofauti na niliyopanga. Mk
Nina Tv inch 24 Sony na Fridge ndogo
Naombeni mkopo wa tshs 250,000\=
Mpaka tarehe 15/12\2012
Alie tayari tuwasiliane plizzzz...
When things are gets tough, it is the toughest who are get going!!!Aisee maisha yanazidi kuwa taiti!!