chash
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 548
- 230
Katika kila wanawake 10 niliowahi kuwakopesha, deni linarudishwa kwa wakati na 90% yao.
Katika kila wanaume 10 niliowahi kuwakopesha, deni linarudishwa kwa wakati na 10% yao.
Hiyo ndio tofauti, na wala si ubaguzi, ni takwimu zangu zinaonesha hivyo. Jee, kwa takwimu hizo wewe utamuani nani hapo?
ok kwa hizo takwimu inawezekana una experience zaidi.