Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bt Mkuu si ninatoa Asetsiku hizi kuna financial institutions nyingi tu zinazoweza kukupatia huo mkopo kama utakuwa na kitu cha kuweka dhamana.....pia jaribu marafiki zako wa karibu,kama wanakuamini,watakukopesha.it is not that easy kumkopesha mtu ambaye humjui.
Nina Tv inch 24 Sony na Fridge ndogo
Naombeni mkopo wa tshs 250,000\=
Mpaka tarehe 15/12\2012
Alie tayari tuwasiliane plizzzz...
Bt Mkuu si ninatoa Aset
Thnks any way.
Kama ni mwanamke ni PM nikukopeshe, nawaamini wanawake wa Tanzania kuliko wanaume wa Tanzania.
Hapa iko kitu. Ubaguzi wa kijinsia. Hebu fafanua mkuu, usipokuwa na maelezo sahihi tutakutokea kama ugonjwa mubaya