Naombeni Mkopo plizzz

Naombeni Mkopo plizzz

Pelham 1

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
548
Reaction score
99
Nina Tv inch 24 Sony na Fridge ndogo
Naombeni mkopo wa tshs 250,000\=
Mpaka tarehe 15/12\2012
Alie tayari tuwasiliane plizzzz...
 
siku hizi kuna financial institutions nyingi tu zinazoweza kukupatia huo mkopo kama utakuwa na kitu cha kuweka dhamana.....pia jaribu marafiki zako wa karibu,kama wanakuamini,watakukopesha.it is not that easy kumkopesha mtu ambaye humjui.
 
Tangu lini TV na Fridge vikawa dhamana? Mkopo utapata lakini kwa riba.
 
siku hizi kuna financial institutions nyingi tu zinazoweza kukupatia huo mkopo kama utakuwa na kitu cha kuweka dhamana.....pia jaribu marafiki zako wa karibu,kama wanakuamini,watakukopesha.it is not that easy kumkopesha mtu ambaye humjui.
Bt Mkuu si ninatoa Aset
Thnks any way.
 
Hali ni tata sio siri dah!! Tv ya vipi mkuu ya miguu kama ya meza,ya box au flat sceen?
 
Nina Tv inch 24 Sony na Fridge ndogo
Naombeni mkopo wa tshs 250,000\=
Mpaka tarehe 15/12\2012
Alie tayari tuwasiliane plizzzz...

Nitafute tar 26/november/2012 nikukopeshe kama ukiwa bado hujapata
 
Kama ni mwanamke ni PM nikukopeshe, nawaamini wanawake wa Tanzania kuliko wanaume wa Tanzania.
 
watu wana maneno mengi tu kama mnamkopesha mkopeshen,longo longo nyingi,ela yenyeshe anayotaka akopeshwe ni ya vocha/senti tu bado mnampa longo longo
 
Bt Mkuu si ninatoa Aset
Thnks any way.

Tangu lini Tv na Fridge vikawa "assets"? Asset is anything that puts money into your pocket, Liability is anything that takes money from your pocket.
 
Kama ni mwanamke ni PM nikukopeshe, nawaamini wanawake wa Tanzania kuliko wanaume wa Tanzania.

Hapa iko kitu. Ubaguzi wa kijinsia. Hebu fafanua mkuu, usipokuwa na maelezo sahihi tutakutokea kama ugonjwa mubaya
 
Hapa iko kitu. Ubaguzi wa kijinsia. Hebu fafanua mkuu, usipokuwa na maelezo sahihi tutakutokea kama ugonjwa mubaya
Nifafanueje Mkuu
Ni tv ya kwaida Sony yenye chogo inchi 24 na Fidge ndogo.
 
Hapa iko kitu. Ubaguzi wa kijinsia. Hebu fafanua mkuu, usipokuwa na maelezo sahihi tutakutokea kama ugonjwa mubaya

Katika kila wanawake 10 niliowahi kuwakopesha, deni linarudishwa kwa wakati na 90% yao.

Katika kila wanaume 10 niliowahi kuwakopesha, deni linarudishwa kwa wakati na 10% yao.

Hiyo ndio tofauti, na wala si ubaguzi, ni takwimu zangu zinaonesha hivyo. Jee, kwa takwimu hizo wewe utamuani nani hapo?
 
Back
Top Bottom