Naombeni mnielekeze kuhusu bajia za kunde

Naombeni mnielekeze kuhusu bajia za kunde

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Jinsi ya kupika nimejaribu kuangalia youtube videos kuna kitu sijaelewa hivi zile kunde zenyewe unazisaga kwenye mashine ,unazikoboa au unazisaga kwenye breander?
 
Unaziloweka zikiwa zimelainika zisage kwenye blender ukimaliza chuja Baki na kunde nzito weka viungo
 
So ukiwa na supu ya nyama au kuku kama utapendelea loweka na hizo supu sio maji. Thereafter zisage afu chuja.
Vikorombwezo vya kuchanganyia hiyo residue. Giligilani, swaumu, vitunguu maji vilivyograted, chumvi, tangawizi (sio lazima hii). Changanya vizuri then anza kukata madonge yako. Wengine hupendelea kuchanganya na unga wa dengu kama kijiko kimoja kwa kunde nusu kilo.

Anza kupika mchanganyiko, though ile paste yako inatakiwa iwe nzito kweli ili ziwe laini na sio iwe ngumu kwamba umechuja maji yote ama la tumia heavy duty kuzisaga na supu.

Napendelea chutney kuliwa na hii bagia. Unasaga nazi nusu ama nzima it depends mnakula wangapi. So hayo machicha yanachanganywa na pilipili 2, ndimu, kitunguu maji kilichosagwa. Unachanganya pamoja then ndo inakuwa pilipili. Kama si mpenzi baso tengeneza pilipili ya ukwaju then ruka ivi.
 
Back
Top Bottom