Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
A55 ni simu ya average user, ina display nzuri, Camera nzuri, inakaa na chaji sana, Itapokea updates nyingi kuanzia miaka 4 ila perfomance ni ya kawaida.Leo nimekuja kwenye jukwaa hili naomba kujuzwa kuhusu simu aina ya Samsung Galaxy A55
Ubora wake upoje? Kwenye camera, battery, software updates nk
Bei halisi nijiandae na sh ngapi?
Mkitaja na maduka sio mbaya
Maisha yanabadirika. Midrangers 1M.Recomended price kwetu ni around laki 8 hadi 1M hivi.
Flagship Ya maana hupati chini ya 2M sasa hivi ukikuta flagship ya 1M-2M ni zile flagship killer tu.Maisha yanabadirika. Midrangers 1M.
Nimeshangaa sana!! Kumbe hizo simu bei imechangamkaMaisha yanabadirika. Midrangers 1M.
Style yangu ya kununua used 2-year-old Flagship ni nzuri sana.Flagship Ya maana hupati chini ya 2M sasa hivi ukikuta flagship ya 1M-2M ni zile flagship killer tu.