Naombeni mnipe ujasiri wa kuthubutu nisiwe muoga

Naombeni mnipe ujasiri wa kuthubutu nisiwe muoga

Fursa namba moja kwa mabinti kama umejaaliwa mwonekano mzuri wa umbo au sura au vyote kwa pamoja ni fursa tosha kutoboa kwa kuolewa! Sisi wanaume mbele ya "ke" mrembo tunaoa! Huo ndo mlango mkubwa namba moja wa kutoboa! Njooo pm nipe picha yako then you will never be the same!
Doh! this world has never been fair at all! Mkuu is this what you can advice this little gal?
 
Shika hii mdogo wangu, kamwe usijidharau wala kujiona upo nyuma ya wakati kwa kuangalia mazingira ya wanaokuzunguka na mitandao itakupa stress na depression na kutaka mkato.

Anza na hiyohiyo uliyonayo kama ni online shop fanya ila jitahid usponsor ili uweze kureach watu wengi,kama ni wakala anza usikae kwenye maswali na kujidharau.

Badili mindset yako jiamini na jikubali, maana usipofanya ivyo hata biashara ukianza itayumba kutokana na hiyo mindset.

Maana kile unachokiamini (kibaya au kizuri) ndio haki yako ila kile unachokiri kwa kinywa chako kinatokea.
 
Kesho nakupa home work amka tembea tafuta location kwanza, usilale ndani tembea nje saka location ya biashara
Zungumza na wanaofanya biashara unayoipenda washirikishe chukua mawazo yao chuja unayoona ni Mazuri yafanyie kazi,

Mda wa kukaa ndani umekwisha unaosema wamekuzidi hakuna wakichokuzidi zaidi ya kutokukaa ndani hicho ndicho walichokuzidi toka nje tembea zunguka ongea na watu washirikishe wasikilize jishushe jifanye mjinga kwa siku 1 utakua mjanja kwa siku zaidi ya 1000

Usikae ndani usikae ndani usikae ndani wanaokuzidi hawalali ndani wanaenda kujichanganya nje huko
Ahsante sana
 
Fursa namba moja kwa mabinti kama umejaaliwa mwonekano mzuri wa umbo au sura au vyote kwa pamoja ni fursa tosha kutoboa kwa kuolewa! Sisi wanaume mbele ya "ke" mrembo tunaoa! Huo ndo mlango mkubwa namba moja wa kutoboa! Njooo pm nipe picha yako then you will never be the same!
Doooh....Kwan ndoa ni Ajira ?
.wakati wa Mungu ukifika atanipatia mume na nitaolewa
 
Shika hii mdogo wangu, kamwe usijidharau wala kujiona upo nyuma ya wakati kwa kuangalia mazingira ya wanaokuzunguka na mitandao itakupa stress na depression na kutaka mkato.

Anza na hiyohiyo uliyonayo kama ni online shop fanya ila jitahid usponsor ili uweze kureach watu wengi,kama ni wakala anza usikae kwenye maswali na kujidharau.

Badili mindset yako jiamini na jikubali, maana usipofanya ivyo hata biashara ukianza itayumba kutokana na hiyo mindset.

Maana kile unachokiamini (kibaya au kizuri) ndio haki yako ila kile unachokiri kwa kinywa chako kinatokea.
Shukran sana
 
Wanasema uwoga wako ndiyo umaskini wako....... Najiona mjinga,mpumbavu na nisiyekua na akili..... Mimi ni binti, wa 20+. Nimehangaika mnoo hapa nilipo Nina 2.5 MIL. Ambayo nimeipata ndani ya mwaka 1.5 kwa taabu mnooo. Kwakudunduliza kidogo kidogo. Huku na huko.......

Mimi natamani kuwa Yule ninayetaka kuwa, Nawaona wasichana WENYE umri wangu wakiwa na mafanikio makubwa,,,,,Wana biashara zao, office zao nk. Mimi Sina chochote,hata nilipotafuta Sana kazi sikuwahi kuipata ,na Sasa nimeachana na habar za kutafuta kazi....

Natamani kuwa mfanyabiashara,natamani nikijiona nainuka kiuchumi,,,,natamani kujiona nipo kule juu. Nachanganyikiwa hata sielewi nifanye nini?? Mabinti wenzangu,mliwezaje kupiga hatua ???? Mliwezaje kufanikiwa ???

Natamani kufungua duka la vipodozi, naona pesa haitatosha .....naamua nitafute laini za uwakala nianze na uwakala nipate kuongezea mtaji. Mabinti wenzangu,nataman kuwa Kama nyie. Imagine kesho jumatatu naamka na Sina pakwenda 😢😢😭😭😭 Basi nalala ndani

KUMBUKA najitegemea kwakilakitu,bill,rent,chakula n.k. Naombeni MNIPE nguvu,UJASIRI niweze KUTHUBUTU

Sitaki kujiona nipo hapa nilipo.....

NAUMIA,

Mimi Muoga naogopa kupoteza,

Najiona mpumbavu 😭😭😢
OLEWA.
 
Kwa mtaji huo unaweza anza na 1.duka la mangi
2.mtumba nenda ilala sokon point nguo nzur uza
3.uwakala wa pesa(asubuhi anzia magufuli stend)
4.nguo za ndani
5.pika chakula home panda gari kauze kkoo(mchana) + asubuhi pika uji kauze hukohuko so utakua unapiga hela asbh na jion
6.kauze vitu vidogovidogo stend jittoe aibu
7.jifunze cherehan shona make sure unakua fundi mzuri sana ili usipoteze wateja
8.tafuta soko la kuku wa nyama(chips) fuga ila make sure unapata kwanza soko
9.tafuta kijiwe uza mayai kua mtu wa kati
10.nunua vitanda uza anza kwanza kufungua insta page post vitanda ukianza kupata wateja uza ongeza cha juu isizid elf 50

Nb
Vipodozi ni biashara nzur ila inahitaji mtaji hasa kwa hapa dar ushindan ni mkubwa unless upo mkoani ila kama unaipenda sana anzia ktk kachumba kadogo sana ili kajae au kiosk
 
Wanasema uwoga wako ndiyo umaskini wako....... Najiona mjinga,mpumbavu na nisiyekua na akili..... Mimi ni binti, wa 20+. Nimehangaika mnoo hapa nilipo Nina 2.5 MIL. Ambayo nimeipata ndani ya mwaka 1.5 kwa taabu mnooo. Kwakudunduliza kidogo kidogo. Huku na huko.......

Mimi natamani kuwa Yule ninayetaka kuwa, Nawaona wasichana WENYE umri wangu wakiwa na mafanikio makubwa,,,,,Wana biashara zao, office zao nk. Mimi Sina chochote,hata nilipotafuta Sana kazi sikuwahi kuipata ,na Sasa nimeachana na habar za kutafuta kazi....

Natamani kuwa mfanyabiashara,natamani nikijiona nainuka kiuchumi,,,,natamani kujiona nipo kule juu. Nachanganyikiwa hata sielewi nifanye nini?? Mabinti wenzangu,mliwezaje kupiga hatua ???? Mliwezaje kufanikiwa ???

Natamani kufungua duka la vipodozi, naona pesa haitatosha .....naamua nitafute laini za uwakala nianze na uwakala nipate kuongezea mtaji. Mabinti wenzangu,nataman kuwa Kama nyie. Imagine kesho jumatatu naamka na Sina pakwenda [emoji22][emoji22][emoji24][emoji24][emoji24] Basi nalala ndani

KUMBUKA najitegemea kwakilakitu,bill,rent,chakula n.k. Naombeni MNIPE nguvu,UJASIRI niweze KUTHUBUTU

Sitaki kujiona nipo hapa nilipo.....

NAUMIA,

Mimi Muoga naogopa kupoteza,

Najiona mpumbavu [emoji24][emoji24][emoji22]
Kiufupi, tumia akili nyingi sana kujua Cha kufanya na kiwe ni kitu Cha chini kabisa hata Cha mtaji wa laki 5 tu, na ukiwa kwenye mzunguko huko mjini utakutana na mambo mengi kiutafutaji, kidogo kidogo utajua Cha kufanya chenye faida na ndipo utakianzisha na kufungua hizo 2M baadaye, hao wadada unao waona Wana maduka yao, wengi wamepita njia mbovu hata kama si wote, lakini wengi wao ni wamehongwa na wanaendelea kuuza utu wao, baadhi ya maduka yao na biashara zao ni kama magoli ya kudakia wanaume, unaweza Dhani ni utani au ni dharau lakini huo ndiyo ukweli, usiwaige Wala usitazame maisha yao, fuata sauti yako ya ndani juu ya unacho kipenda kufanya kiutafutaji, na ukifuate hicho pole pole, utakifikia.

Siku njema.
 
Fata huu ushauri

Kama unajua kiingereza soma kitabu cha "become better you " by Joel oesteen na the power of ur subconscious mind by Dr Joseph Murphy

Tatizo lako lipo katika AKILI kwa kuamini you have nothing to offer that's way unalalamika as well soma na Kitabu cha The magic ujifunze how gratitude is everything in success
ungempa na soft copy kabisa
 
Sijaenda hata nilikua busy na mechi ya Yanga [emoji23][emoji23][emoji23]. Niko mjini naondoka baadae
😂😂 Haya mwana yanga. Nitakucheki nikija huko next month. Dar imebishinda Bora nirudi zangu huko nipunge upepo wa bahari
 
Back
Top Bottom