Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
hatujagoma mkuu ...tatizo umekataa ushirikiano kwa mkeo ndio maana umetununisha,,,,,
Haya kaibu
Hahahhaaaa mke wangu No No No tena kama ni hivyo basi natimka zangu bhana
ila wewe na yeye si ni mwili mmoja bana...kwa nini tushirikiane na kichwa cha familia tuache moyo wa familia wakati nyie mwili mmoja???
Ila mimi siko kwenye Masalia wala sipendi mambo ya siasa kabisaaa
Natokea hapa Kwemakame about 10Km toka Lushoto Mjini jirani na yalipo makazi ya Mzee Nkapa hahahahaa wewe bhana kumbe waifahamu Lushoto eee
Asisahau na Mafyoksimosie ... umewaletea mods mapeasi ?