Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Haya Haya Jamnai Bwanga Ja Town limeingia hapa Jamvini, naombeni shana shana ushirikiano wenu ila sio kwa mke wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hatujagoma mkuu ...tatizo umekataa ushirikiano kwa mkeo ndio maana umetununisha,,,,,
Haya kaibu
Hahahhaaaa mke wangu No No No tena kama ni hivyo basi natimka zangu bhana
ila wewe na yeye si ni mwili mmoja bana...kwa nini tushirikiane na kichwa cha familia tuache moyo wa familia wakati nyie mwili mmoja???
Ila mimi siko kwenye Masalia wala sipendi mambo ya siasa kabisaaa
Natokea hapa Kwemakame about 10Km toka Lushoto Mjini jirani na yalipo makazi ya Mzee Nkapa hahahahaa wewe bhana kumbe waifahamu Lushoto eee
Asisahau na Mafyoksimosie ... umewaletea mods mapeasi ?