Naombeni mnisaidie formula ya excel

Naombeni mnisaidie formula ya excel

Na yako iweke kama nilivyoweka alafu sisi tunaandika formula tu
 
Naombeni mnisaidie formula ya kurahisisha kupata haya majibu kwenye excel.

Kila Box lina chupa 3, chupa 1 ni 0.1, chupa 2 ni 0.2, chupa 3 ni 0.3 sawa na box.

1 ni box moja, 1.1 ni box 1 na unit 1, 2.2 ni box 2 na unit 2, n.k.

View attachment 2692051

Box zikiwa 10 zikitoka 4 jibu liwe 6
Box zikiwa 8 zikitoka 3.3 jibu liwe 4
Box zikiwa 7 zikitoka 6.2 jibu liwe 0.1
Box zikiwa 6 zikitoka 5.1 jibu liwe 0.2
Box zikiwa 5 zikitoka 4 jibu liwe 1
Box zikiwa 4 zikitoka 2.1 jibu liwe 1.2
=IF((B4-TRUNC(B4))=0,A4-B4,IF((B4-TRUNC(B4))>0,A4-TRUNC(B4)-IF((B4-TRUNC(B4))=0.3,1,IF((B4-TRUNC(B4))=0.2,0.9,IF((B4-TRUNC(B4))=0.1,0.8)))))
 
=IF((B4-TRUNC(B4))=0,A4-B4,IF((B4-TRUNC(B4))>0,A4-TRUNC(B4)-IF((B4-TRUNC(B4))=0.3,1,IF((B4-TRUNC(B4))=0.2,0.9,IF((B4-TRUNC(B4))=0.1,0.8)))))
C5 hapo inazungua

Inabidi 5 - 4.1 ije o.2 sio hio 1

1689814128096.png
 
=IF((B4-TRUNC(B4))=0,A4-B4,IF((B4-TRUNC(B4))>0,A4-TRUNC(B4)-IF((B4-TRUNC(B4))=0.3,1,IF((B4-TRUNC(B4))=0.2,0.9,IF((B4-TRUNC(B4))=0.1,0.8)))))
Mwamba kama mwamba, mzee kwenye excel unatisha kama ukoma
 
Njuka II nisaidie hio formula

ikitoa 5 - 4.1 inaleta 1 badala ya 0.2
 
Back
Top Bottom