Naombeni mnisaidie kumshauri mdogo wangu Course ya Kusoma

Naombeni mnisaidie kumshauri mdogo wangu Course ya Kusoma

thephilanthropist

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2020
Posts
207
Reaction score
339
Kapata matokeo mazuri sana, kwa hiyo Competition sizani kama itakua ni tatizo sana, kubwa anataka kujua course mzuri ya Kusoma.

Matokeo.

Chemistry A, Physics A , Adv Mathematics A .
 
Ngoja waje kukupa muongozo

NB: Mimi nlipokuwa Advance nilikuwa najua naenda kusoma nini endapo nikifika chuo, Mungu ni mwema nikaangukia mule mule japo sio kwa asilimia zote za matarajio

Je, huyo Dogo hakuwa anajua kabisa anataka kusoma nini Chuo endapo akifaulu vizuri kama hivyo?
 
Kama familia yenu ni masikini basi akasome course za uhandisi hususani uhandisi wa majengo, ila kama ni mboga saba akasome mambo ya fedha na kijamii.
 
Civil atajiongeza na Architect. Atajiiba na Umeme kwa mbaaaali, Kikubwa awe fundi mkuu, Hali ya hewa ni mbaya sana
 
Kapata matokeo mazuri sana, kwa hiyo Competition sizani kama itakua ni tatizo sana, kubwa anataka kujua course mzuri ya Kusoma.

Matokeo.

Chemistry A, Physics A , Adv Mathematics A .
Ni wew usimsingizie mdogo wako Hongera
 
Ngoja waje kukupa muongozo

NB: Mimi nlipokuwa Advance nilikuwa najua naenda kusoma nini endapo nikifika chuo, Mungu ni mwema nikaangukia mule mule japo sio kwa asilimia zote za matarajio

Je, huyo Dogo hakuwa anajua kabisa anataka kusoma nini Chuo endapo akifaulu vizuri kama hivyo?
Kwa kweli kizazi hiki cha maajabu anamaliza six tena genius hivgo ila hajui chuo hakasome nini
 
1.3 anapata Bachelor of biomedical Engineering (BME) muhas, anasoma kwa semester moja kisha anaenda MUST kuendelea na masomo.
 
Back
Top Bottom