Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Unapataje hesabu A inamaana Hana kazi yakufanya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana hatushangai wanavyofaulu sana maana mambo yashakuwa rahisi hata hawajishughulishi.Kwa kweli kizazi hiki cha maajabu anamaliza six tena genius hivgo ila hajui chuo hakasome nini
Utaratibu ndio uko hivyo?1.3 anapata Bachelor of biomedical Engineering (BME) muhas, anasoma kwa semester moja kisha anaenda MUST kuendelea na masomo.
Yes, muhas hamna walimu wa Engineering, kwahiyo wanafunzi wanakuja wanasoma anatomy then wanapelekwa MUST huko ndio kuna ma Engineer , wanaendeleza koziUtaratibu ndio uko hivyo?
Mhh hapo hayo matrajio.ya pass za Chuo usimpe kichwa ...anaweza kutana na Mazingira tofauti ikawa ndiyo sio...Kuna kina Hamisa Mobeto kule ohooo!Akasome Actuarial science UDSM, kwa max hizo lazima atakula 1st class akikaza. Akiwa mwaka wa 3 semester ya 2 anaomba big 4 Audit firms, kwa max hizo lazima atapata tu na hata jutia.
Mwaka 2022 waliajiri Tutorials Assistant wa Biomedical Engineering, kwamba bado hawajakidhi mahitaji..Yes, muhas hamna walimu wa Engineering, kwahiyo wanafunzi wanakuja wanasoma anatomy then wanapelekwa MUST huko ndio kuna ma Engineer , wanaendeleza kozi