girose
New Member
- Feb 23, 2022
- 1
- 0
Wanandugu, naomba mnisaidie maana ya ndoto hii.
Juzi nimeota ndoto moja hivi ambayo inanisumbua mpaka sasa. Niliota kwamba Mwalimu Mwakasege anagonga hodi nikamfungulia. Nilipomfungulia mlango akaingia huku akisema ya kwamba amezunguka sana akipatafuta ninapoishi. ndipo alipoingia akakaa kwenye sofa.
Baada ya kukaa Mwl Mwakasege akaniambia ana jambo la msingi la kuniambia lakini nisijisikie vibaya. Akaniambia jambo moja tuu, haya mambo ya likizo likizo sio mazuri.
Naombeni mnisaiidie wadau.