Naombeni mnitajie nyimbo za Wasanii hawa

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
35,812
Reaction score
107,628
Habari,

Naombeni mnitajie nyimbo za Juma Nature zote alizoimba na kushirikishwa. Najua nyimbo zake hizi tu.
  • Mtoto Idd
  • Mikikimikiki
  • Sitaki demu
  • Mgambo
Kwa mlionazo kama itawezekana naombeni mniwekee hapa nizipakue.

Nyongeza.

Naombeni pia nyimbo za Twanga pepepeta/Banza Stone na Mwinjuma muminim. Ninajua wimbo mmoja tu wa Mtu pesa

-Thanks✌️
 
Juma Nature aka Kiroboto, ana album tano:
  • Nini Chanzo (2001)
  • Ugali (2003)
  • Ubinadamu-Kazi (2005)
  • Zote History (2006)
  • Tugawane Umaskini (2009)
Badhi ya pini zake hizi:
Mtoto Iddi
Hakuna Kulala
Sitaki Demu
Ugali
Mzee Wa Busara
Inaniuma Sana
Ugali
Utajiju
Ubinadamu Kazi
Kisa Demu
Koma
Sir Nature
Hakuna Kulala
Jinsi Kijana
Nini Chanzo
Hali Ngumu
Mikiki Mikiki
Tugawane Umasikini
Mugambo
Dogo
Kighetto Ghetto
Umoja wa Tanzania
Unayumba
Sonia
Nini Chanzo ?
Sherehe
Salio la Verse
Kitu Kipya
Lakuvunda
Africa
Histori
 
Thread closed
 
Pia ana ngoma nyingi mno za kushirikishwa ngoja nitaje nnazozikumbuka kabla sijalala;

1. Zali la mentali-- Prof Jay
2. Msela--Ngwea
3. Mambo ya Pwani--SoloThang
4. Tatu bila
5. Kamua Baba--GWM
6. Radhia--Dolo
7. Jinsi tulivyo-- Chege
8. Mtulize--Mabaga Fresh
9. Umuhimu wako--Jide
10. Naja--Squizer
11. Wasiwasi--Stopa Rhymes
12. Gado Remix -- Zay B
13. Nampenda--Mike Tee
14. Tina-- Fresh P
15. Mtoto wa Jakaya--Ngwea
16. Hatuna kitu--Rich One
17. Ndio mzee--Prof Jay
18. Kiboko ya Mabishoo--Hamorapa
19. Haina kuremba--Inspekta
20. Hajazaa--Voice Wonder
21. Tunafanya kazi--K South
22. Bosi--Feruzi
23. Siri ya Mchezo-- Fid Q
24. Kama kawa--Babalevo
25. Popote kambi--Young Killer
26. Buti na Shati--Cannibal
27. Huyu demu--Joseline
28. Almas--Salu T
29. P Funk--Ndani ya Club
30. Kulwa na Dotto--Soggy Doggy
31. Ni mshamba--Jay Mo
32. Jela--Daz Baba
33. Matatizo Remix--Daz Nundaz
 
Ingia Boomplay mkuu search juma Nature zitakuta albums zake.
 
Juma Nature aka Kiroboto, ana album tano:
Naja feat.squeezer,hili game na TID
Wakuu ahsanteni kwa kunitajihizo nimewarudia tena.Leo katika pekua pekua kwenye Tarakirishi nimekuta wimbo mmoja wa Kayumba. Nimejikuta napenda uimbaji wake basi ikiwapendeza naombeni orodha ya nyimbo zote za huyu kayumba. Much regards...

(Sijui nyimbo za wasanii wa hapa kwetu kabisa na sipo Kwenye platform Yoyote ya kunipa updates za wasanii. )
 
 
Hao hawana mpango, wanaitwa One Hit Wonder tu
 
"nOna madaktari wanatufanyia maksudi....kwanza ukimpeleka mgonjwa walingee weee..hujajibu vizuri..vuup vuup huyu" hahaha nature alitisha sana humo kwenye matatizo ya daz nunda
 
 
Habari waungwana naomba mwenye hizi nyimbo zituatazo.

Tugawane umasikini,juma nature
Lakuvunda.juma nature.

Neema rmx,adolph mbinga ft banza stone.

Ndoa ya lazima. Juma kakele
Tabu za maisha. African stars band
Madaraka ya jikoni, nina musica
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…