Naombeni Mrejesho kwanini watu wanaisifia sana Carina TI?

Mkuu hizi gari za kisasa ni shida!kuna hii chombo ya ofisini gari imekaa wiki tatu porini ina dai password.Hapa ndio niliamini mafundi wengi wa bongo ni vilaza tu maana iliwahenyesha kweli amekuja Fundi kutoka Kenya kaitibu!!!
 
Hii gari kwangu mimi haina mvuto siwezi kung'oa demu kizembe zembe na carina road
kila mtu ananunua gari kwa malengo flani
 
Mkuu hizi gari za kisasa ni shida!kuna hii chombo ya ofisini gari imekaa wiki tatu porini ina dai password.Hapa ndio niliamini mafundi wengi wa bongo ni vilaza tu maana iliwahenyesha kweli amekuja Fundi kutoka Kenya kaitibu!!!View attachment 2039400
Gari inadai password ya kazi gani tena imekuwa simu au haikuamini dereva?

Huu upuuzi huwezi kukuta mjapani kaweka kwenye gari yake😂 hata siku moja! Hapo bila mkenya gari ilikuwa ya kutupa hio!
 
Gari inadai password ya kazi gani tena imekuwa simu au haikuamini dereva?

Huu upuuzi huwezi kukuta mjapani kaweka kwenye gari yake[emoji23] hata siku moja! Hapo bila mkenya gari ilikuwa ya kutupa hio!

Gari inadai password ya kazi gani tena imekuwa simu au haikuamini dereva?

Huu upuuzi huwezi kukuta mjapani kaweka kwenye gari yake[emoji23] hata siku moja! Hapo bila mkenya gari ilikuwa ya kutupa hio!

Siku izi hizi gari za kisasa nyingi ni computerized,hiyo ni iveco stralis ili bid I mzigo tufaulishe kwenye gari nyingine.
 
Siku izi hizi gari za kisasa nyingi ni computerized,hiyo ni iveco stralis ili bid I mzigo tufaulishe kwenye gari nyingine.
Sasa na wale madereva machalii wa kuokoteza kwa connection si ni balaa mkuu?
 
Sasa na wale madereva machalii wa kuokoteza kwa connection si ni balaa mkuu?

Huwezi mpatia mtu asiye jitambua gari kama hii ni bora ukiwa na mashaka ukaacha kumpa gari au ukamtupe kwenye mninga scania 113 uko tena steemliner!
 
IST 1500Cc natembea 20/Lita kwa highway, mpaka mwenyewe sijaamini aisee.
Na ni ya muda ni Number C.
Acha kudanganya watu ndugu,wengi humu tunamiliki magari miaka nenda rudi, kilometer 20 per litter unaijua vzr wewe?
 
Ulinunua gari kwa kufuata mkumbo?

Kwamba hukufanya utafiti wa gharama za matunzo ulinganishe na uwezo wa mfuko wako?

Kabla ya kununua ulitakiwa uangalie bei ya spare parts ambazo zipo likely kuharibika mara kwa mara then ulinganishe na mfuko wako.
 
Mkuu hapo hakuna SUV bali kuna Crossover au Station wagon SUV hua ni body on chassis...
 
Exact.

Hata dualis ya Cc2000 inatumia mafuta vizuri kuliko carina.

Hata murano la Cc2500 ukilikuta zima linatumia mafuta vizuri kuliko Carina.
Kwenye Dualis ni kweli kabisa haina ubishi. Sijacheki na murano nijue zina consumption ya kiwango gani.
 
Mkuu, hilo linawezekana endapo fuse husika ni ya aina moja yaani moto unaotoa. Kwa mfano unakuta fuse ya taa ni kubwa kuliko ya radio au fuse ya starter ni kubwa, slot compartment haiingiliani labda moja ni kubwa nyingine ni ndogo, kwa vyovyote unaweza kulala kizembe tu njiani na usiamini kilichotokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…